Ni vigezo gani vinaweza kutambulisha NDOA ya Mungu na isiyo ya Mungu??

Ndoa yenye mungu haina migogoro ya mara kwa mara. Imetawaliwa kwa amani upendo na utulivu. Wanandoa hufanya ibada mara kwa mara na huiombea ndoa yao. Nyuso zao zimetawaliwa na furaha na tabasamu. Umeelewa?
 
Usimruke ukuta mkeo, hapo mbinguni umeshafika bila shaka, na mwanamke usikatae kula koni ya mmeo.
 
Ndoa yenye mungu haina migogoro ya mara kwa mara. Imetawaliwa kwa amani upendo na utulivu. Wanandoa hufanya ibada mara kwa mara na huiombea ndoa yao. Nyuso zao zimetawaliwa na furaha na tabasamu. Umeelewa?

Shukrani sana Mwalimu, nimekuelewa vizuri sana sana!
 
Back
Top Bottom