Ni vema kutenga Muda wa Kumshukuru Mungu - kwa kuwa uhai wetu u mikononi mwake

Pole sana ndugu kwa msiba huo mkubwa na tena wa Ghafla. Mungu awatie nguvu na Faraja.
Umenikumbusha maneno ya wimbo wa Ambasada of Christ ya Rwanda. wamesema ukweli na hata Yesu mwenyewe alituasa tukeshe tukiomba kwa kuwa hatujui siku wala saa ya kutwaliwa.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
Pole sana mkuu. Ni kweli, ni jambo jema kumshukuru Mungu na kumpa muda uliomkuu.

Rip mpendwa wetu.
 
Pole kwa msiba na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
 
........Pole sana Rubi, ile ajali ilikuwa mbaya sana. Mungu akupe nguvu katika kipindi hichi na amini mama mdogo yupo sehemu nzuri kapumzika.
 
........Pole sana Rubi, ile ajali ilikuwa mbaya sana. Mungu akupe nguvu katika kipindi hichi na amini mama mdogo yupo sehemu nzuri kapumzika.
Asante nduguyangu ajali zitatumaliza na kutuachia vilema vya maisha. Halafu sisi tulio mbali na familia ukipata jambo la kushitua inaumiza sana. Tuombe Mungu atunusuru na janga la ajali maana kila kukicha hatuachi kusikia ajali hizo ni zile zinazotangazwa sijui ambazo hazitangazwi ni ngapi.
 
Back
Top Bottom