Elections 2010 Ni uzalendo kutompigia kura kikwete?

Negotiator

JF-Expert Member
Aug 9, 2010
303
44
Wana JF hamdhani ni uzalendo uliotukuka kama watanzania hawamchagua tena KIKWETE kwa kua kazi ile ni mzigo unaohitaji mtu ambaye ana afya imara? Hii itamsaidia kupumzika vema ikizingatiwa kua hakuna kitu mwanadamu anapaswa kujali kama afya yake mwenyewe. Ndio maana ukiumwa unaahirisha mitihani kama ni mwanafunzi, unapumzika kazi kama ni mfanyakazi, huendi shambani kama ni mkulima n.k. Kwa ujumla unapumzika au unapumzishwa. Hamuoni ni uzalendo kumpumzisha Kikwete?:behindsofa:
 
ILE KAZI INAHITAJI MTU MWENYE AFYA TIMAMU YA MWILI NA AKILI, kuna tatizo kama watu watamrudisha Ikulu mzee Kikwete.
 
Kwa kweli ni uzalendo mkuu mzee kutorudishwa ikulu kwani itaonyesha namna ambavo tunajaliafya za waanzania wenzetu kwa ujumla
 
akirudi tuu huyu jamaaa ....! tegemea yafuatayo

-inflation rate at 90%
-exchange rate at 3000tshs against us$
 
je hiyo ali zaidi mkulu ataitoa wapi kama ni mgonjwa?kapumzike kaka Kikwete achia wengine baba eehh...
 
tena ni uzalendo sana, basi tu watanzania tunaangalia SURA????!!!!!!!......:::"""""|
Wana JF hamdhani ni uzalendo uliotukuka kama watanzania hawamchagua tena KIKWETE kwa kua kazi ile ni mzigo unaohitaji mtu ambaye ana afya imara? Hii itamsaidia kupumzika vema ikizingatiwa kua hakuna kitu mwanadamu anapaswa kujali kama afya yake mwenyewe. Ndio maana ukiumwa unaahirisha mitihani kama ni mwanafunzi, unapumzika kazi kama ni mfanyakazi, huendi shambani kama ni mkulima n.k. Kwa ujumla unapumzika au unapumzishwa. Hamuoni ni uzalendo kumpumzisha Kikwete?:behindsofa:
 
MWL.NYERERE"............Ikulu ni mzigo mzito,,,,,,mtu anayeng'ang'ania kwenda ikulu mwogopeni kama ukoma.......
kama ikulu ni mzigo Kikwete anasubiri nini kujiuzuru
 
MWL.NYERERE"............Ikulu ni mzigo mzito,,,,,,mtu anayeng'ang'ania kwenda ikulu mwogopeni kama ukoma.......
kama ikulu ni mzigo Kikwete anasubiri nini kujiuzuru

Nakuunga mkono 100%, ikulu ni pazito na ni sehemu takatifu. Inatakiwa mtu makini, mwenye maadili mema na nia njema kwa nchi na wananchi.
Afya njema ni kigezo kikubwa sana cha kuingia ikulu. Majukumu ni mengi na mazito yanahitaji mtendaji mwenye afya njema kuyakabili.
Kikwete ni mgonjwa ingawa CCM wanaficha ukweli huu. Na hii ndiyo sababu kubwa ya kikwete kusafiri nje ya nchi mara kwa mara kwa lengo la kupima na kucheck afya yake. HAPANA TUNAHITAJI RAISI MWINGINE, si kwa lengo baya ila ni kutokana na ukweli unajionesha.
 
Back
Top Bottom