Ni Uwekezaji wa Hisia

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Mapenzi ni uwekezaji. Ukiwekeza sana utavuna mno. Na ukiwekeza haba utavuna kidogo.

HIGH RISK HIGH RETURNS - NEGATIVE OR POSITIVE!
 
wapo waliowekeza sana pia wakaumia....
wakakuta 'kampuni imebinafsishwa'....
ina wamiliki wengine..na wao wamepata hasara....
 
wapo waliowekeza sana pia wakaumia....
wakakuta 'kampuni imebinafsishwa'....
ina wamiliki wengine..na wao wamepata hasara....

Hapo ndipo kwenye mtego, sasa , je, tuwekeze kidogo ili kuepuka maumivu makubwa? Kumbuka high risks high returns - positive or negative!
 
Hapo ndipo kwenye mtego, sasa , je, tuwekeze kidogo ili kuepuka maumivu makubwa? Kumbuka high risks high returns - positive or negative!

unatakiwa kuinvest kiasi cha kutosha but sio life savings
au everything...hata ukipata hasara unaendelea na life yako
 
unatakiwa kuinvest kiasi cha kutosha but sio life savings
au everything...hata ukipata hasara unaendelea na life yako

kuwekeza huko returns zake ni ndogo sana, huchelewi kutafuta hisa mbadala kwenye makampuni mengine!

njia pekee ya kufurahia sana mapenzi ni kuwekeza mno lakini hii ni risk kubwa sana - high risk high returns!
 
Hapa mnaongea lugha ya Biashara sijui kama ntaambulia kitu

Hus hebu do ze nidiful nifafanulie maana ya investor, high risk, returns, shares, life savings...
 
Hapa mnaongea lugha ya Biashara sijui kama ntaambulia kitu

Hus hebu do ze nidiful nifafanulie maana ya investor, high risk, returns, shares, life savings...

mi nasikia uvivu uncle. Mwambie the boss.
 
kuna kitu kinaitwa gawiwo (dividend), ili kiwe kikubwa mno lazima uwekeze sana - ila hatari ni kuwa kampuni ikifilisika umekwisha!
 
kwa lugha nyepesi mapenzi matamu hasa ni yale ambayo umewekeza sana hisia zako kutoka ndani kabisa ya moyo wako ila pia maumivu yake ni makali sana, yanachoma mpaka rohoni!
 
mh, nora kuwekeza kwenye risk free securities kwa sababu una uhakika afu ziko very liquid ukijisikia unaiseel kwenye secondary market, yaani unaweza ukamuunganishia mshikaji wako au pacha wako kazi ikaendelea ila ndo hivyo return ndogo ila uhakika wa kutoumizwa ni 100%
 
Compa asante kwa ufafanuzi...sasa hapo juu si unaona Husninyo keshasema 'anasikia uvivu'...kimapenzi nikifanya uwekezaji hapo itakuwaje, tukiassume mambo ya ceteris paribus....hapo Compa wewe ni 'business consultant' lol

Halafu kuna mjadala mkali kule kwen siasa, Kiranga na Malecela W...sijajua 'mwisho wa siku' itakuwaje..

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/244296-william-malecela-dissaster-waiting-to-happen.html.

Asante, kwa sasa siasa nimeweka pembeni - ninajikita kwenye uwekezaji wa hisia. Tatizo kubwa ni kuwa ili uweze kukua na kuishi kwa namna anayoisema The Boss hapo juu inabidi uwekeze hisia kwa kiasi cha kutosha na sio sana ili uwekezaji ukifilisika uweze kuendelea na maisha. Lakini kanuni hiyo hiyo ndiyo inayoua ladha ya mapenzi kiasi cha kufanya watu waingie ubia au hata wawekeze kwingine. Kwa ufupi siri ya mapenzi yaliyokolea ndio hiyo hiyo siri ya maumivu makali!
 
mh, nora kuwekeza kwenye risk free securities kwa sababu una uhakika afu ziko very liquid ukijisikia unaiseel kwenye secondary market, yaani unaweza ukamuunganishia mshikaji wako au pacha wako kazi ikaendelea ila ndo hivyo return ndogo ila uhakika wa kutoumizwa ni 100%

returns ndogo ndio chanzo kikuu cha divorce/mitala, cheating/ubazazi na dumping/kibuti!

ukitaka mapenzi matamu wekeza +100% ila jua kuwa unaweza kupoteza na kupata -0%!
 
Compa ninachoona kigumu hapo kwenye uwekezaji wa hisia ni pale ambapo tunaingiza suala la 'udini' wa 'mapenzi' ya kweli, kwamba umempenda mtu kiukweli 'huwezi kujizuia' kuonyesha hisia zako, na kama huwezi kujizuia maana yake ni kwamba haupo na akili ya kutosha kujua uwekeza 'hisa' kiasi gani. Matokeo yake inakuwa umecheza 'kamari' hatari sana ambayo ni aidha upate mazima au ukose mazima 'ufe kabla ya siku zako'

nadhani umenipata
 
tuweke udini pembeni na tuangalia falsafa, saikolojia, hesabu na fizikia ya mapenzi. mkipendana na kuaminiana kidogo msitegemee penzi lenu kukolea na kudumu hata kidogo. ila mkipendana na kuaminiana sana tegemeeni penzi tamu lililokolea na lenye uwezo wa kudumu - lakini soko la hisa likitetereka tu kutokana na sababu za ndani au nje mjue mmoja wenu au wote mtaumia sana na kuambulia deni la penzi. na hakuna ku-file for bankruptcy hapo, ni kufilisika tu moyoni. mambo ya 'moral harzard' hayo, yanatisha ila hakuna jinsi - ili ufaidi penzi lazima uwekeze hisia sana bila ajizi!
 
returns ndogo ndio chanzo kikuu cha divorce/mitala, cheating/ubazazi na dumping/kibuti!

ukitaka mapenzi matamu wekeza +100% ila jua kuwa unaweza kupoteza na kupata -0%!
basi bora kuminimize risk kwa portfolio ile unsystematic risk yote inakuwa hamna kadiri unavyoadd security mwisho wa siku unajikuta return kubwa risk ndogo
 
tuweke udini pembeni na tuangalia falsafa, saikolojia, hesabu na fizikia ya mapenzi. mkipendana na kuaminiana kidogo msitegemee penzi lenu kukolea na kudumu hata kidogo. ila mkipendana na kuaminiana sana tegemeeni penzi tamu lililokolea na lenye uwezo wa kudumu - lakini soko la hisa likitetereka tu kutokana na sababu za ndani au nje mjue mmoja wenu au wote mtaumia sana na kuambulia deni la penzi. na hakuna ku-file for bankruptcy hapo, ni kufilisika tu moyoni. mambo ya 'moral harzard' hayo, yanatisha ila hakuna jinsi - ili ufaidi penzi lazima uwekeze hisia sana bila ajizi!

Mi nadhani kuwa na 'market information' ni muhimu ili kukwepa hiyo moral hazard. Ninachojaribu kusema hapani kwamba inatokea hali, kwa ajili ya asymetrical information, mtu anaingia mazima mapenzini, anawekeza hisia zake zote. Kibiashara , hili lipo pia ijapokuwa linaweza kuepukika kwa kufanya utafiti wa kutosha. Wengi wetu tunakuja kufanya utafiti 'tumeshafilisika' na hatuwezi tena kurecover hata tukipewa stimulus package...au sio
 
Back
Top Bottom