Elections 2010 Ni utani tu

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
jk amekuwa akitoa kaulia za utata kwenye kampeni zake,
nilichokuja kugundua watanzania wanapaswa kuzichukulia kama utani na wanapaswa kuozoea utani wa
jk na kufanya maamuzi sahihi octoba
  • rostam ni mtu safi
  • mramba ni panga la zamani lenye makali
  • hakuna kama lowasa
  • chenge ni hodari na mchapakazi
  • wanaopata ukimwi ni kiherehere chao
 
Kikwete ni mgonjwa (mara ya mwisho alikwenda kupimwa akili) so usishangae hizi pumba zote anazomwaga kwenye kampeni.
 
mimi sina uhakika na akili za huyu jamaa,may be uwezo wake wa kufiliri una matatizo
 
moz-screenshot-14.png
moz-screenshot-15.png
 
Nia aibu sana mil 40 ya watanzania kuongozwa na Mgonjwa! Utani utani, mizaha na kebehi
 
jk amekuwa akitoa kaulia za utata kwenye kampeni zake,
nilichokuja kugundua watanzania wanapaswa kuzichukulia kama utani na wanapaswa kuozoea utani wa
jk na kufanya maamuzi sahihi octoba
  • rostam ni mtu safi
  • mramba ni panga la zamani lenye makali
  • hakuna kama lowasa
  • chenge ni hodari na mchapakazi
  • wanaopata ukimwi ni kiherehere chao

Nikiwa Ikulu sifanyi kazi yoyote zaidi ya kuvaa msuli na kumuangalia Salma
 
jk amekuwa akitoa kaulia za utata kwenye kampeni zake,
nilichokuja kugundua watanzania wanapaswa kuzichukulia kama utani na wanapaswa kuozoea utani wa
jk na kufanya maamuzi sahihi octoba

  • rostam ni mtu safi
  • mramba ni panga la zamani lenye makali
  • hakuna kama lowasa
  • chenge ni hodari na mchapakazi
  • wanaopata ukimwi ni kiherehere chao

Wasted :llama:
 
Back
Top Bottom