Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,605
6,071
Wakati mwingine mtu anaweza kufanya mambo ya kukuumiza moyo na sio kwamba anafanya makusudi bali ni kujisahau kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu

Unajua katika mapenzi unaweza ukaishi na mtu akakupa tabu sana,ila uvumilivu ni
kitu cha busara,kwani inawezekana akakusumbua sana,akukera kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu lakini bado unahitaji kuendelea kuwa naye maana licha ya kukukera ,ila anakupenda kwa dhati. kumbuka kuwa uvumilivu ni nguzo ya pekee ili tuweze kufika mbali katika mahusiano ukizingatia kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha.

Tusiachane jamani embu fikiria utaacha au kuachwa na wangapi kama ukiwa si
mvumilivu,wakati mwingine mtu anaweza akakukera lakini hakukusudia bado anahitaji uwepo wako hivyo ni muhimu kumsaidia kutokana na matatizo aliyonayo huenda kuna siku ataelewa vipi aishi na mwenzie,ingawa inawezekana ikachukua muda mrefu hasa kama atakuwa hapendi kufanyia kazi ushauri wa mwenzake.

UVUMILIVU NI WA MUHIMU KWANI VINGINEVYO HATUTAFIKA NA PIA NI MUHIMU KUYAGUNDUA MAPUNGUFU ULIYONAYO ILI UJIREKEBISHE.

Ni hayo tu.
 
hata awe na vituko kumi elfu nitamvumilia as far as ntajiridhisha kuwa bado ananipenda, ni kweli wenzio anaweza kukukera ila haina maana kuwa hakupendi.
 
Big up yourself TF......nimekukubali,ukitulia na kuwezeshwa unaweza......salama lakini??
Ha ha ha ha salama kabisa was wondering where the hell you have been you know you are the only sister i have sasa if you disappear like that you get me worried
 
La muhimu ni kujua kwamba hajakusudia, sasa hapo ndo pagumu! Anakurera kila baada ya cku moja, ila hajakusudia! Hivi ndo nini hicho? Utajuaje? Unamsaheme then anarudia, kafanya mazoea ila hajakusudia!!!! That's very fun ! When it reaches the point of no return, na yeye unamwadabisha hata kama hajakusudia.
 
Mkwe safi sana nimependezwa na wewe kumbe una hekima nyingi na busara kiasi hii
Omba mungu akuongezee zaidi hekima hizi
Nafikilia kupunguza mahari niliyokuwa nimekwambia
Asante sana TF
 
Samehe saba mara sabini lol!!!!!
 
Me and you will always adhere to the same situations so we must get something suitable for us...you know what i mean

sometimes you do things out of the blue...when ya back in your senses thats when you realize how wrong you were...
 
True....,
We always hurt those who loves us most.....
Lakini Tukumbuke not to take advantage of the love, someone feels for us, knowing or thinking that they will always forgive us.
 
Mkwe safi sana nimependezwa na wewe kumbe una hekima nyingi na busara kiasi hii
Omba mungu akuongezee zaidi hekima hizi
Nafikilia kupunguza mahari niliyokuwa nimekwambia
Asante sana TF
Nitashukuru sana maana kile kiwango mlichokuwa mmeniwekea nilipe in USD dah!!!!!
 
Ha ha ha ha salama kabisa was wondering where the hell you have been you know you are the only sister i have sasa if you disappear like that you get me worried

I see,it feels great to be loved that much from today.......:laugh::laugh:
 
Tangu mwaka uanze nilikuwa sijakugongea thanks leo natimiza hiyo hapo chini.

The Following 5 Users Say Thank You to The Finest For This Useful Post:
Dena Amsi (Today), FirstLady1 (Today), hashycool (Today), Michelle (Today), MONTESQUIEU (Today)

Umeongea point hata neno la kuongeza sina. Ila color inaumiza macho bana
 
Back
Top Bottom