Ni upi muda muafaka wa kuchumbiana?

Samahani mkuu, naomba nikuulize. Tukuambie karibu JF au tukuulize ulikuwa wapi siku zote?

Kajuni
Junior Member
Join Date : 27th May 2009
Posts : 3
Thanks
0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0

JF kwa kipindi chote hiki nimekuwa najifunza kutoka kwa wadau ndani ya blog hiii tukufu...lakini usihofu kimya kingi??
 
Mie ni wa kiume na nipo sawa sawa kabsaaaa na kwa nyongeza zaidi network yangu(kuhisi hamu ya kufanya nanii) hipo juuu kama satelite phones!!!!
 
Back
Top Bottom