Ni upi mchango wa wahindi(wadosi) Tanzania?

Ziara ya indian officials hapa Tanzania ni wasaa muafaka wa kutafakari umuhimu na uwajibikaji wa jamii ya kihindi hapa Tanzania.
Je kuna tija yoyote?

mkuu mchango wao ni kama hivi
sugu.jpeg
 
Hawana faida yoyote zaidi ya kupeleka faida yote ya hela wanayopata kwao India thru bank zao.Zaidi ya hapo wamehonga hela mafisadi ya NHC kote nchini na kukaa ndani ya nyumba za NHC huku wazalendo watanzania halisi wakikosa nyumba!

.kama ulikua hujui nyumba walizijenga wenyewe
 
muhindi wa kweli alikuwa ni AMIRI JAMALI tu, hawa ni MA*********. HUYO BABU YAO JEETU PATEL ni jizi la kutupwa kwa serikali yetu hii legelege hakuna la kufanya, ule mwaka lyatonga alipokuwa kwenye chati walijua akichukua INJI basi na wao kwishnei, walifanya kampeni kwa mara ya kwanza niliwaona mitaani wakipita kwa maandamano wkiimba ALI HASSANI MWINYI APEWE KURA YA DIO DIO DIO. ndio hawa wanaoongezea mzigo wa ukali wa maisha kwa wazawa.
 
SASA hata kwenye siasa wapo, serikali haiwezi tena kuwafanya lolote, hata katiba na sheria wanatutungia wao kina shivji, sasa ni mapinduzi ya umma tu ndio dawa, lakini tahadhari kwani wahindi waliridhi mali za waingereza, kwa hiyo wao ndio nchi, bila wao au wakiamua yatatupata ya zimbabwe.
 
India na Kenya ndio wamiliki wa Tanzania, wakiamua kuisambaratisha nchi hii wiki moja haifiki.
Halafu sisi tuendelee kulumbana na kuwatukana Manabii na Wasomi wetu wakubwa kama kina Chenge na Lowassa.
Kisa ni matajiri. nasema ngoja wahindi wachape mwendo!
 
Ninachoshangaa mimi ni kwamba "wahindi" siyo polisi. polisi ni sisi. wahindi ni watoa rushwa, wezi, walanguzi, wakwepa kodi... na wakati huohuo hamna wahindi serikalini kote. sasa cha kujiuliza kwa nini sisi polisi,PCCB na vyombo vingine vya usalama haviwafikishi kwenye vyombo vya sheria? "wahindi" wanapotoa rushwa, wanampa nani?
Kwa nini mnawalamu wahindi badala ya serikali yenu? Mnaelekeza lawama mahali pasipo. Hao "wahindi" wa madukani wakiondoka wote, mtahamia kwa Wanyakyusa wa Bima, baadaye Wachaga wa TRA, Wakurya jeshini....dhambi ya ubaguzi haiishi.
 
Mchango wao upo kwenye bishara kama za EPA,Richmond,na ujanja ujanja mwingine wa deal feki
Sijui umetembea wapi na wapi ndugu, lakini nchi zingine wahindi hao hao tunaowalaumu sisi wanafanya kazi kwa bidii na wanachangia maendeleo ya nchi walizofikia kama raia wengine wa asili wa mahali hapo.Ni madaktari, IT pros, wanasheria, actuaries, na kama nyumbani pia nchi zingine walipo wengi ni wafanyabiashara wa rejareja. Wanalipa kodi, wapo serikalini n.k. Tutazunguka zunguka wee.... tutarudi palepale, serikali yetu ni mzaha mwingi. Sheria hazifanyi kazi. Kwa nini watu haoahao wawe productive members of society na kwetu wawe villains.
 
Ninachoshangaa mimi ni kwamba "wahindi" siyo polisi. polisi ni sisi. wahindi ni watoa rushwa, wezi, walanguzi, wakwepa kodi... na wakati huohuo hamna wahindi serikalini kote. sasa cha kujiuliza kwa nini sisi polisi,PCCB na vyombo vingine vya usalama haviwafikishi kwenye vyombo vya sheria? "wahindi" wanapotoa rushwa, wanampa nani?
Kwa nini mnawalamu wahindi badala ya serikali yenu? Mnaelekeza lawama mahali pasipo. Hao "wahindi" wa madukani wakiondoka wote, mtahamia kwa Wanyakyusa wa Bima, baadaye Wachaga wa TRA, Wakurya jeshini....dhambi ya ubaguzi haiishi.

kaka we muhindi nini?
 
Ziara ya indian officials hapa Tanzania ni wasaa muafaka wa kutafakari umuhimu na uwajibikaji wa jamii ya kihindi hapa Tanzania.
Je kuna tija yoyote?

Kuanzishwa kwa biashara kubwa kubwa hasa maduka....
Kujua kukasirika hasa pale hasara inapobeep kwenye biashara yako.
 
Watu wa magumash hawa kwanza wabaguzi,pili wanyonyaji sana,3wezi wakuu nashauri Tugeuke eid amin tuuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom