Ni upepo tu.

Kirode

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
3,566
82
Wadau , kuna kitu kinaendelea hapa tz. Nahisi kwa mtazamo wangu kitajaleta madhara, kuna mambo kadhaa yanatokea na ukiangalia undani wake ni ya msingi lakini viongozi wetu kuanzia shina mpaka juu ni kama wameamua watumie hii kauli ya ni upepo tu utapita, mwisho nchi imekuwa kama ya masihara, kwa kuanzia tu mnakumbuka madaktari uliitwa upepo wakaja walimu upepo.. Juzi nilimueleza m. Kiti wa mtaa elnino inaweza leta madhara tuchimbe mitaro akanijibu ni upepo tu utapita.. Haya masihara yataendelea mpaka lini wakuu? Taja swala la upepo tu utapita unalokumbuka..,.karibuni
 
Ni upepo tu ndugu yangu, utapita tu hakheee usihofu. Mimi nasikiliza sikio moja inapitia sikio la pili!!! Tehe Tehe.
 
Wadau , kuna kitu kinaendelea hapa tz. Nahisi kwa mtazamo wangu kitajaleta madhara, kuna mambo kadhaa yanatokea na ukiangalia undani wake ni ya msingi lakini viongozi wetu kuanzia shina mpaka juu ni kama wameamua watumie hii kauli ya ni upepo tu utapita, mwisho nchi imekuwa kama ya masihara, kwa kuanzia tu mnakumbuka madaktari uliitwa upepo wakaja walimu upepo.. Juzi nilimueleza m. Kiti wa mtaa elnino inaweza leta madhara tuchimbe mitaro akanijibu ni upepo tu utapita.. Haya masihara yataendelea mpaka lini wakuu? Taja swala la upepo tu utapita unalokumbuka..,.karibuni

ata hii mada yako ni upepo tu utapita..
 
Mwenzio nna ushungu na kuteketezwa kwa nguruwe hapa Tunduru sasa gharama ya ku-import mboga toka njombe au karatu tutaimudu kweli?, sidhani kama huu ni upepo wa kupita, nahisi ni upepo wa kimbunga, lazima nyumba ziezuliwe.
 
Mkuu wamemwaga mboga. ........kazi kwako.....

Back
Top Bottom