AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
Hapo siku chache zilizopita CHADEMA kupitia mwenyekiti wake Taifa hon. Freeman Mbowe wali-declare uamuzi wa kuisusia na kutangaza mgogoro na TBC1 tv na Radio yake pamoja na kuutangazia umma kuwa TBC1 ni janga la kitaifa, pia ikumbukwe kwamba maamuzi hayo si ya Mbowe as a chairman bali ni maamuzi yalitokana na kamati kuu ya chama.
Iwaje sasa Dr.Kitila Mkumbo ashiriki kwenye kipindi cha TBC1 cha" THIS WEEK IN PERSPECTIVE" kinachorushwa leo hii saa 3 na TBC1? Pia ikumbwe Dr.Kitila ni mmoja wa viongozi wa juu wa chama.
Pia itakuwaje kama kesho akija na Zitto naye kushiriki TBC1 mtamwitaje?
My outlook:
Je huo ni unafiki wa CHADEAMA, Mbowe au Dr.Kitila?