Ni ujinga na upumbavu uliokidhiri kuendelea kung'ang'ania CCM

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
Kipimo cha maendeleo ya nchi kinashabihiana sana na upeo wa kufikiri wa wananchi wake na hitaji la pamoja la maendeleo ya wote kama vile maji safi kwa wote, elimu bora (sii bora elimu) kwa wote, ajira kwa wote, chakula bora kwa wote,haki kwa wote, huduma za afya kwa wote, nk.

Nchi hii wanaoifadi ni viongozi wa ccm pekee. hawajali wananchi.Kiongozi anahudumiwa na serikali hadi mfanyakazi wa bostanini kwake. anapewa mpaka na gari la mkewe. hata msharaha wake unakua hauna kazi ya kufanya, maana matumizi yote anapewa bure. leo hii huduma za afya ni mbovu, na watu wengi hawana access nazo. umeme ni tatizo kubwa, tanesco kazi yake ni kulipa makampuni hewa mabilioni kila simu. wafanyakazi wa tanesco wengi ni wezi, na wala rushwa wakubwa. hawana tija yeyote. ubora wa elimu ni mbovu kupindukia, zaidi ya nusu ya waliofanya mitihani wanaelekea mitaani baada ya kufeli na hamna ajira.Kuna haja gani ya hii nchi kuwa na raisi na watendaji wake? what are they doing and for who? Afadhali jeshi likachukua nchi kama misri sasa. this government is hopeless indeed. Inaongozwa na chama na viongozi ambazo mindset zao ziko too weak. viongozi wanafanyia mzaha uhai na maisha ya watu siasa????! watu wanakufa kwa umaskini, njaa, na maradhi, wao wanacheka?? ni heri nchi hii iongozwe na jeshi tujue kimoja. raisi wa nchi anaongea pumba, WM anaongea pumba. viongozi kazi yao kuongea na kuhaidi tuu kila wakati lakini matendo sifuri. Tatizo la umeme limekua gunzo kila wakati, je tumeshindwa kabsa kulitatua. Mbona kulipwa dowans kamati kuu ya ccm haikuona shida? Kama tumeshindwa tuwaombe waingereza waje watutawale tena. Jamani mbona hatupigia hatua????!

Nchi inahitaji ki/viongozi wanaamua leo na kutenda leo leo, akichelewa sana kesho asubuhi matendo yaonekane, maana tupo nyuma saana miaka 5000 nyuma ya nchi zingine. kiongozi wa serikali anaweka maslahi ya kundi dogo la chama mbele badala ya maslahi ya wananchi na taifa kwa ujumla, mfano ccm wanapongeza mauaji ya arusha ya polisi badala ya kuchukua hatua?!!!
 
Mi ndo maana siungi mkono hii serikali hata kidogo,hamna shda idadi ya tusiowakubali inazidi kukua ipo siku wataondoka tu,
 
Mkuu punguza jaziba kwanza! Hakika unauchungu na hasira kwa nchi hii kama mimi. Kaka hapa hatuna viongozi bali tuna
wasanii wa kuimba na maigizo ya kwenye luninga tu. CCM na wapambe wao their days ar numbered.
 
Back
Top Bottom