Ni ugumu wa maisha au nini?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Jana niliongozana na basi dogo limeandikwa nyuma 'Masana Nursing College' likiwa limebeba akina dada na sare za manesi. Kila kituo cha dala dala walikuwa wakirusha vitu kama pakiti hivi. Walipofika pale Makongo, kulikuwa na wanawake wa makamo na mmoja wao aliwahi kwa haraka sana kuokota hicho kilichorushwa na hao manesi wanafunzi, hivi ni kweli ile haraka ilikuwa ya kuwahi condom au alidhani ndio zali la mentali?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom