Tatizo la kuwahi kufika kileleni ni ugonjwa au?

Naona wewe na Shosti mmekuja na magodoro kabisa kwenye thread hii hahaha! Nafahamu hamuwezi kukubali eti mechi iishe dakika 1-3 ndio maana nimempa ufumbuzi at least atapiga danadana dakika 15-20 lol!
mie ndo nalala na kuamkia hapa na kazini kesho sendi,kumbe huwa mnapulizia nanihii wanaume wa kileo kumbe karibia wote .5
 
Naona wewe na Shosti mmekuja na magodoro kabisa kwenye thread hii hahaha! Nafahamu hamuwezi kukubali eti mechi iishe dakika 1-3 ndio maana nimempa ufumbuzi at least atapiga danadana dakika 15-20 lol!
dk 1 imekuwa mchuzi unaonja! Lol.
 
mie ndo nalala na kuamkia hapa na kazini kesho sendi,kumbe huwa mnapulizia nanihii wanaume wa kileo kumbe karibia wote .5
Kama umesoma vizuri huu ni ufumbuzi wa muda mpaka atakapojiamini na kuacha 'kiherehere' kwenye kufanya mapenzi.

dk 1 imekuwa mchuzi unaonja! Lol.
Si ndio hapo unaona kila msichana anakukimbia kumbe tatizo ni kama hili.
 
vp mkuu hyo delay spray inauzwa pharmacy zote au n aina ip ya phamarcy na vp madhara yake maana isje ikawa na other problem!
 
vp mkuu hyo delay spray inauzwa pharmacy zote au n aina ip ya phamarcy na vp madhara yake maana isje ikawa na other problem!
Duh, kumbe wadau wanatusanifu sana pale inapochukua dk moja mtu kesha fika mwisho wa reli. Aise jitahidi kupata maujanja mapya otherwise itakuwa issue.Husn umenifurahisha kwa kusema ukweli kwa hiyo inabidi niongeze angalau 20mins!!
 
vp mkuu hyo delay spray inauzwa pharmacy zote au n aina ip ya phamarcy na vp madhara yake maana isje ikawa na other problem!
Zinauzwa pharmacy zote tumia kwa muda baadae hutahitaji utakuwa tayari unajimudu na utapenda unavyomfikisha mamsap,haina madhara kama huitumii zaidi ya miezi 3.
 
AAsee!
Kuwahi kwa mujibu wa kiuno chako ni dk ngapi? Sema usaidiwe.
Kasema dakika 1 akichelewa sana 3 na mwanamke anahitaji sio chini ya dakika 10-15 kwahiyo chini ya hapo unakimbiwa au kukwepwa kwenye gemu(ooh nimechoka,naumwa kichwa,na usingizi n.k. )
 
Kasema dakika 1 akichelewa sana 3 na mwanamke anahitaji sio chini ya dakika 10-15 kwahiyo chini ya hapo unakimbiwa au kukwepwa kwenye gemu(ooh nimechoka,naumwa kichwa,na usingizi n.k. )
Dakika moj??? duh!

sasa hapa kuna tatizo.........kwanza aache mchecheto!!
Lakini issue sio kulast longer, its about kupeana na kufikishana.

Halafu we jamaa wewe, uwe unakula vizuri na kucheza soccer kidogo bana!!
Kama mkoloni wako anakufrastrate jifunze kumu-ignore
Usiwe mbinafsi, muwaze mwenzio pia, mkiwa kwenye game, waza kunrizisha mwenzako, usiwaze ku-score wewe...ukijifunza kuhamisha mawazo, sikiliza sauti yake, acha kugugumia tuu kama unataka kufa. Sikiliza kama anafurahia, muulize, kama vipi badili style, a litle bit of distraction huwa inaongeza hashki na muda wa kufikia mshindo.

Important: msikilize mwenzako, ukifanya hivyo utaacha kufocus kwenye kujiridhisha, utafocus kwenye utamu unaompa instead of utamu unaopata!. Ukishaona sasa anafika, switch to your balls...you will need less than 20 sec kujikuta unafikia mshindo...that way, mtafika kwa pamoja.

Sawa Kijana? ikikusaidia urudi kutoa shukrani!!!
 
its interesting kuona watu mnanpa mawazo ntayazngatia yote na kwa lile litakalofanikiwa ntarud kushukuru! Japo majungu yapo pia lakn hl n tatzo na najua n vjana weng wana ths problem na walitatua yao nngependa mbnu walizotumia nzjue nami ntumia
 
Toka mwezi wa 5 hujajaribu hata spray ?
 
vp mkuu hyo delay spray inauzwa pharmacy zote au n aina ip ya phamarcy na vp madhara yake maana isje ikawa na other problem!

Achana na mambo ya delay spray. Haitakufikisha popote. Inaweza kuwa ni short term solution lakini unajua madhara yake? Sitakushauri utumie bila kumwona mtaalamu wa haya mambo. Kama hufanyi mazoezi, anza sasa. Kama unakula ovyo ovyo, then think carefuly on what you eat. Premature ejaculation inatibika. La muhimu ni kuchagua the most suitable programme ya kutibu hilo tatizo. Sidhani kama delay spray ni mojawapo. Mjini hapa. Watu wanafanya biashara zao. Tatizo kubwa wanaume tunaogopa kumwona daktari kwa matibabu ya huu ungonjwa, tunaishia tuu kwenye short cuts.

Nakushauri ukamwone daktari au sex therapist. Kadiri unavyozidi kuchelewa, ndio tatizo linazidi kuwa gumu kutibika. Act now. Seek medical advice. In the meanwhile, unaweza kupitia hiyo attachment niliyoweka inaweza kusaidia kuujua mwili wako hasa your sexual organ and tips you can use to reduce the problem. Attachment ina tips kwa wanawake pia especially those looking for multi organism. Cheki kwenye kurasa za mwisho. Cha maana nakushauri kamwone daktari akupe ushauri wa kitibabu. Halafu nashangaa umeiweka hii thread kwenye Love Connect. Ungepeleka JF Doctor ungepata ushauri wa kitaalamu zaidi kwa watu kama Riwa. Waombe Mods waihamishie kule.
 
Kama umesoma vizuri huu ni ufumbuzi wa muda mpaka atakapojiamini na kuacha 'kiherehere' kwenye kufanya mapenzi.

Achana na mambo ya delay spray. Haitakufikisha popote. Inaweza kuwa ni short term solution lakini unajua madhara yake? .....Cha maana nakushauri kamwone daktari akupe ushauri wa kitibabu. Halafu nashangaa umeiweka hii thread kwenye Love Connect. Ungepeleka JF Doctor ungepata ushauri wa kitaalamu zaidi kwa watu kama Riwa. Waombe Mods waihamishie kule.
Soma hapo juu mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Haya Mkuu. Sikuulizi swali jipya. lol
Hahaha! hapana mkuu unaweza kuuliza swali,hii signature niliweka baada ya waziri mmoja kukata kujibu swali bungeni akidai eti ni swali jipya lol! Hii delay spray ni ufumbuzi wa muda mfupi na inakatazwa kutumiwa kwa muda murefu, itamsaidia mhusika hapa juu aweze kujua utafauti wa dakika moja na dakika 15-20 na inaweza kumpa confidence asihitaji tena tiba ingine,mimi mwenyewe nilitumia hapo zamani ni sikuhitaji tena baada ya wiki mbili.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom