Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

Tanzania hakuna "rule of law"

Kama walivyosema wasemaji hapo juu, it is human nature to be selfish, it is human nature to seek the easy way out, kwa hiyo kama kuna mihela ipo ofisini na hamna sheria za kumbana mfujaji wa mali za umma, au kama sheria zipo lakini kuna huku kulindana kama alikowekewa Sitta, watu wataendelea kukomba tu.

Tunahitaji misheria na mi watchdog na kuendeleza culture ya kuziheshimu hizo sheria.

Pundit maneno yako yamenigusa, especialy hiyo aya ya mwisho. Nchi za wenzetu zilizoendelea kuna CHECKS and BALANCES hivyo viongozi kwa kujua kuwepo mchakato huo huwabidi wawe waadilifu. Wana JF, mwafikiri UNAFIKI siyo factor mojawapo inayochochea mwelekeo wa kwenda kwenye UFISADI???? Nawasilisha!!!
 
nahisi umefika wakati Tanzania inahitaji madikteta wenye uchungu na maendeleo ya nchi, vijana wapenda maendeleo kwa wote. Mambo ya urafiki na undugu katika uongozi ndio umechochea watu wenye dhamana ya uongozi kufanya ufisadi wakijua hakuna atakaye wawajibisha (mathalan, kwa vile baba yangu ni waziri mkuu hata nikifanya ufisadi atanilinda)
 
Huyo jamaa wa bunge hakutoa sababu zozote za msingi alikuwa kama mtu ambaye anajibizana. Yaani alikuwa shallow.Ni sawasawa na ile ya mh mdau wa en,es,es,efu
 
Mwananyamala hospital tunachangia Sh.500/= kwa dozi moja ya dawa-mseto ya malaria (actual cost 7,000/=).

Mwenzetu alichangia ngapi kwa hizo Sh. box 2?
 
...teh teh changa la macho hilo,kwani mtu akikupiga changa anatambaa au anakuchangia tena???
 
NGE limeanza kikao chake cha 11 kwa Sita kujigamba na kijichanganya kuhusu kashfa zinazomkabili.Tunaishukuru sana kamati teule iliyofungua mlango wa madhambi ya viongozi.eg Kashfa ya MBOWE na NSSF,ya spika na nyingine nyingi kama zilivyowekwa wazi,

Watanzania hawataki maelezo marefu ambayo hajibu tuhuma zinazo kukabili Spika,Pia wanaohusisha familia yako wanakosea maana majibu unayo wewe mwenyewe.Spika sema mambo matatu tu:

1.Tunapenda kujua ni kweli kuna maadai ya mabaya ya pesa za walipa kodi?

Tunazo photocopy za risit za pharmarcy,Ukibisa tutaziwakilisha,pamoja na masurufu ya safari na yule kimada wa agakan hosp kama ni kweli alipewa per diem ya siku 50?

2. Pia toa sentensi chache tu kuhusu ofisi ya bunge kuwahudumia vimada zako wa Upanga na kinondoni?na kama ni kweli magari ya bunge yanatumika! hukatazwi kuwa na vimada hata kumi ila ni ukosefu wa heshima kwa watanzania kwa kiongozi wa juu kama wewe unapoamua kutumia magari na kodi zetu kuwastarehesha hao malaya wakati mage yupo na ana gari tayari.

Hatutaki uanze kupoteza muda kuelezea kuwa ni mambo ya Richmond au EPA ndiyo yanasababisha uchafuliwe,hatutaki mchawi tunataka ukweli,mbona waliohusishwa na EPA na Richmond hawakutafuta mchawi,au mbowe mbona yeye alijibu direct tu.

Haya sio maneno ya mtaani wala majungu kama ulivyo ya sema magari tunawaona yakitumiwa na hao vimada au labda utudhibitishie kuwa hayo wa upanga anayetumia RAV 4 ya bunge ni nani? na kwa nini anatumia hiyo gari?

Shehe yahaya alisema mwaka 2008 tutayasikia mengi yayofanywa siri.

TUnajua waheshimiwa Silaa na Zitto kabwe Spika ni rafiki yenu ila tunajua kwenye kutete maslahi ya Taifa nyie hamna adui wala rafiki ukweli na haki ndiyo misingi utendaji wa kazi zenu.Safisheni uozo kila kona ya nchi tumechoka
 
Why this allegations now?

Naona kama tuhuma nyingi zimeegemea maisha binafsi sana?kimada,safari za nje na ndani,matibabu hospital(pharmacy,biashara ya magogo(ana kibali?)?? ambazo binadamu wa kawaida yeyote hufanya.mmmmhhh!!!

Isije ikawa ule msemo wa fahari wawili hawakai zizi moja,sasa wanaanza kuchomana pembe.
 
swala si kujibu hoja,cha msingi ni kuweza kujua kama kweli kashfa liyotiuhumiwa na 'wahuni' haimuangukii??

nani anafhamu osterybay pharmacy ni ya nani??unaweza kukuta ni ya Mkuu wa Bunge
 
Why this allegations now?

Naona kama tuhuma nyingi zimeegemea maisha binafsi sana?kimada,safari za nje na ndani,matibabu hospital(pharmacy,biashara ya magogo(ana kibali?)?? ambazo binadamu wa kawaida yeyote hufanya.mmmmhhh!!!

Isije ikawa ule msemo wa fahari wawili hawakai zizi moja,sasa wanaanza kuchomana pembe.

MWENYE MACHO HAAMBIWI ONA

- Anatumia vibaya fedha za umma. Amekuwa akitumia
msaidizi wake kuchota mapesa kwa kisingizio kuwa ni
masurufu ya safari za ndani na nje ya nchi. Kila
safari ya siku moja ndani ya nchi huchukua shilingi
Milioni tano (5,000,000/=), na kila safari ya siku
moja nje ya nchi huchukua shilingi Milioni Kumi na
Tano (15,000,0000/=). Ameshindwa kufanya marejesho ya
masurufu (imprest) hayo, licha ya kupeleka risiti
kadhaa za kughushi/za uongo kwa Mhasibu Mkuu wa Ofisi
ya Bunge. Mpaka sasa anadaiwa jumla ya shilingi
Milioni sitini (60,000,000/=) za masurufu.

- SITTA hupeleka risiti za uongo kwa Mhasibu Mkuu,
zikionesha madai kutoka Oysterbay Pharmacy ya Shilingi
Milioni Mbili ( 2,000,000/= ) aliyotumia kwa tiba kila
wiki.
 
NGE limeanza kikao chake cha 11 kwa Sita kujigamba na kijichanganya kuhusu kashfa zinazomkabili.Tunaishukuru sana kamati teule iliyofungua mlango wa madhambi ya viongozi.eg Kashfa ya MBOWE na NSSF,ya spika na nyingine nyingi kama zilivyowekwa wazi,

Watanzania hawataki maelezo marefu ambayo hajibu tuhuma zinazo kukabili Spika,Pia wanaohusisha familia yako wanakosea maana majibu unayo wewe mwenyewe.Spika sema mambo matatu tu:

1.Tunapenda kujua ni kweli kuna maadai ya mabaya ya pesa za walipa kodi?

Tunazo photocopy za risit za pharmarcy,Ukibisa tutaziwakilisha,pamoja na masurufu ya safari na yule kimada wa agakan hosp kama ni kweli alipewa per diem ya siku 50?

2. Pia toa sentensi chache tu kuhusu ofisi ya bunge kuwahudumia vimada zako wa Upanga na kinondoni?na kama ni kweli magari ya bunge yanatumika! hukatazwi kuwa na vimada hata kumi ila ni ukosefu wa heshima kwa watanzania kwa kiongozi wa juu kama wewe unapoamua kutumia magari na kodi zetu kuwastarehesha hao malaya wakati mage yupo na ana gari tayari.

Hatutaki uanze kupoteza muda kuelezea kuwa ni mambo ya Richmond au EPA ndiyo yanasababisha uchafuliwe,hatutaki mchawi tunataka ukweli,mbona waliohusishwa na EPA na Richmond hawakutafuta mchawi,au mbowe mbona yeye alijibu direct tu.

Haya sio maneno ya mtaani wala majungu kama ulivyo ya sema magari tunawaona yakitumiwa na hao vimada au labda utudhibitishie kuwa hayo wa upanga anayetumia RAV 4 ya bunge ni nani? na kwa nini anatumia hiyo gari?

Shehe yahaya alisema mwaka 2008 tutayasikia mengi yayofanywa siri.

TUnajua waheshimiwa Silaa na Zitto kabwe Spika ni rafiki yenu ila tunajua kwenye kutete maslahi ya Taifa nyie hamna adui wala rafiki ukweli na haki ndiyo misingi utendaji wa kazi zenu.Safisheni uozo kila kona ya nchi tumechoka

Naona mwaka huu huyu Mzee atakukoma kweli. Itabidi akutafute
 
Eti, duka alilonunua dawa spika Sitta ni la mkwewe (Mjengwa Blog).

Kama ni kweli basi haya ni makubwa madogo yana afadhali. Ndo kupeana ulaji..
 
Mhhh! Kesi ya Nyani kuiba Mahindi sasa ushahidi unatafutwa kwa Tumbili.
 
kama ndio ukwe wa aina hiyo basi tumekwisha.....hakutoa hata punguzo la bei duh!!!!!! by the way ni Mkwe kivipi?
 
Back
Top Bottom