Kilaza ni kilaza tu!msikie huyu...

Mtoto:Babaaaaaa,kila siku unasema nipate mia kwenye mitihani,leo sasa nimeipata!!!

BABA:Ohooo,safi sana,umepata mia kwenye mtihani gani?

MTOTO: HISABATI 30%, KISWAHILA 25%, ENGLISH 25% na SAYANSI 20%!!!!!!! JUMLA...

Hivi nimemuacha mbaba yupo sokoni kutafuta wauza ng'ombe ili wabadilishane na huyu mtoto!!

Ng'ombe analika huyu mtoto utamfanyia nini?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom