MamaParoko
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 463
- 60
Jamani mwenzenu nina kitu sijui niite tatizo ama? nikikutana na mtu mara ya kwanza akawa too nice to me, yaani akinichangamkia najisikia kuwa embarrased sijui kwanini. Najisikia kama sistahili vile, je ni tatizo la kisaikolojia au ni kawaida?