B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,279
- 2,733
ndugu wapendwa...kuna jambo limenichanganya,kunaa kaugonjwaa flani kamezukaa sana cha watoto kuanguka anguka ovyo mashuleni,kama jana wanafunzi huko songea wa shule ya msingi walishikwa na huo ugonjwa na mara nyingi sana umekuwa ukiwa kumbaa watoto wa kike?nakumbuka miaka flani nyuma ungonjwa kama huo ulitokea ashira girls wanafunzi walipata ugonjwaa wa kuchekacheka ovyo na kuanguka.swali je huu ni ugonjwa gani?