Ni Tanganyika tu !

Zakumi na Juliasi acheni hizo, hivi mmewahi kuwaona wanawake mnaowaita 'Wamang'ati' wakiwa wamevaa nguzo zao za ngozi na kubeba hivyo vifurushi/vibwebe mgongoni? Yaani ule ni ubunifu wa asili. Sio ninyi wazungu weupe hata kutengeneza batiki na kuivaa hamuwezi! Miafrika!
 
Hao Wamang'ati wako wakipigwa sopu sopu na shopping la nguvu Bloomingdales nakuhakikishia wataacha kuvaa hivyo vingozi ngozi vyao...unawapiga shopiing spree la nguvu...halafu unawapeleka spa...halafu unawapeleka kwa wachina kwenda kutengenezwa kucha zao...manicure na padicure la nguvu...hehehehe....wewe acha tu...unadhani watakumbuka hivyo vingozi? Unacheza wewe
 
dampokigogo.jpg

A woman washes her kitchen utensils near garbage surrounding her house at a Kigogo dumpsite in Dar es Salaam yesterday. The dump was reportedly closed by the Ilala Municipal Council but Omar Musa, a resident of the area, says garbage collection trucks still unload waste at the site.
Govt
 
wanafunzikuni.jpg


Wanafunzi wa Shule ya msingi Ihanga wilayani Mufindi, mkoa wa Iringa wakiwa wamebeka kuni kupelekea kwa mteja aliyenunua kuni hizo kutoka katika Shule yao kama walivyokutwa na mwandishi wetu, Waalimu hutumia muda wa masomo kufanya biashara hiyo. Picha na Hakumu Mwaf
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
maendeleo.jpg
Mwanamasala sina uhakika kama umekielewa vizuri kilichoko kwenye thread.Inaniwia vigumu kama unayaelewa vizuri mazingira ya thread hii.
Kama ningekuwa mwalimu ningekupeleka shule ya wenye mtindio wa ubongo maana unongelea mambo ambayo hayana uhusiano wa moja kwa moja na mtoa thread.
WEWE kama mwanamasala umetoa kiasi gani kuondoa hali hiyo.
Ni vyema usiwe na Machinga Mentality ya kuwa wewe unaweza kufanya chochote bila wewe vile vile kujitoa katika kuchangia kurekebisha hali hiyo.Machinga ni mtu yoyote anayefanya biashara bila leseni wala kulipa kodi kwa udru wa hali ngumu mjini.
Kutoa lawama na kunyooshea vidole kwa mambo mema yaliyo fanyika sihesabu kaka ukomavu wa kifikra.
Jifikirie wewe mwenyewe umefanya nini na si umefanyiwa nini.
Naamini wewe una umeme na una kaa mahali pazuri na ndio maana umeadika maoni yako, je wewe unastahili hayo?
Maana utakuwa unawapunja wale wasio na nyumba wala umeme majumbani kwao, hii ni pamoja na ukweli kuwa mantiki hii kama ulivyo ielezea katika maoni yako ni dalili za mtu aliyekata tamaa ya maisha wakati uwezo anao.
 
Hao Wamang'ati wako wakipigwa sopu sopu na shopping la nguvu Bloomingdales nakuhakikishia wataacha kuvaa hivyo vingozi ngozi vyao...unawapiga shopiing spree la nguvu...halafu unawapeleka spa...halafu unawapeleka kwa wachina kwenda kutengenezwa kucha zao...manicure na padicure la nguvu...hehehehe....wewe acha tu...unadhani watakumbuka hivyo vingozi? Unacheza wewe

NN:

Kwikwikwi. Companero anashindwa kutofautisha dhiki na utamaduni. Yaani watu wakipata sopusopu hakuna anayerudi huko. Yaani ni afadhari wakauze miti shamba kuliko kurudi kijijini.
 
Kuna watanzania wachache ninaowafahamu wanasaidia kupatia shule madawati, vitabu na ujenzi wa madarasa, wanatoa hasa katika vijiji walivyotokea. Mimi natoa mchango wangu kupitia huyu mtanzania ambaye ameanzisha hii organization www.dusomefoundation.org na ningependa kushauri watu tuchangie hata kwa kiasi kidogo... ("Be the change you want to see" - I think the quote came from M. Ghandi)
 
Hao Wamang'ati wako wakipigwa sopu sopu na shopping la nguvu Bloomingdales nakuhakikishia wataacha kuvaa hivyo vingozi ngozi vyao...unawapiga shopiing spree la nguvu...halafu unawapeleka spa...halafu unawapeleka kwa wachina kwenda kutengenezwa kucha zao...manicure na padicure la nguvu...hehehehe....wewe acha tu...unadhani watakumbuka hivyo vingozi? Unacheza wewe

Hizo sabuni sabuni zote zinapatikana pale Babati na Arusha kwenye visaluni vya kufanya fashali skrabu, wanaviona ila wameamua kuwa inovetivu kwa kutumia mafuta wanayotengeneza wenyewe na ndio maana nasisitiza turejee tamaduni zetu ili tuweze kujenga nadharia za maendeleo yetu wenyewe. Sasa mtafute Zakumi muende library mkasome hiki kitabu:

Escaping Behavioural Poverty in Uganda: The Role of Culture and Social Capital
 
tatizo wabongo wakishaenda nje kila kitu kikifanyika huku eti wanaponda kisa eti mbuzi, mbwa ni pet animal, kisa mzungu anabeba mbwa habebi mbuzi, angebeba mbuzi vilevile mngeshabikia, sisi ni watu wa kuiga tu dada zetu nao utakuta barabarani wamebeba ma midoli mikubwa mgongoni ukiwauliza sababu eti fashion, lkn wakipata watoto wanawatupa. mbuzi anaweza kuwa km mbwa ukimtreat toka mdogo nilishawahi fanya hivyo kwa kweli alipokufa yule mbuzi family nzima hatukula nyama ya yule mbuzi.
 
kubeba mbuzi mgongoni si aibu, bali inathibitisha ni jinsi gani huyo mtz (kama kweli) ni mbunifu.
 
Sipati point yako!Huwezi kupata mtu Amsterdam amepakia Mbuzi namna hiyo,though baiskeli ni nyingi!
Mwanamasala chochote kinachowezekana kifanyike tena kwa muda muafaka,mbuzi alikuwa anahitajika mapema na bila shaka jamaa alimfikisha kwa muda muafaka,si unajua tena mambo ya hitima,thats all!!!tujivunie ubunifu tulionao!!
 
Ni tekenolj jipya si mara ya kwanza mbuzi kupanda baiskeli hata bata atavaa raizoni,tofauti ni kumpakia kitako cha nyuma ndani ya tenga lakini ni lengo ni lile lile kumsafirisha cheki mbuzi anainjoi ile mbaya na kashika mabega safi, swali ni mbuzi wake ua!!!? maana bongo.
 
Back
Top Bottom