Ni swali tu, naomba Sioi na wapambe wake mnijibu

Samahani wakuu....
Hivi sifa ya kuwa mTanzania ni kuwa na kadi ya kura?
Hivi kuwa na kadi ya kura ni moja ya sifa ya kugombea ubunge?

Kama majibu ya maswali haya ni NDIYO basi maswali yako ni valid kabisa, na kama hana kadi basi watakuwa wanafanya makosa makubwa sana ya kubaka demokrasia

Unless otherwise.....................................

tunakubali kwenye swala la uraia wametupiga changa la macho lakini kwa hili watueleze tu ukweli sababu wameru si wajinga kiasi hicho
 
tunakubali kwenye swala la uraia wametupiga changa la macho lakini kwa hili watueleze tu ukweli sababu wameru si wajinga kiasi hicho

Wakueleze nini sasa mkuu?
Wakikwambia hajajiandikisha na hana kadi ya kupigia kura ndio atakuwa hana sifa ya kugombea ubunge?
Anyway lakini, wakilitumia hili cdm kwenye majukwaa huko kwenye kampeni kama propaganda kuonyesha Sioi sio mwenzao linaweza kusaidia
 
Majibu mbona yatakuwa rahisi tu.

Marehemu baba yake na Sioi (Jermia Sumari) alipokuwa akigombea ubunge mwaka 2010 alihakikisha anapata kura za wanawe na familia yake kwa ujumla. Hivyo wote walijiandikisha na kumpigia kura.
 
huyu atakuwa mbunge wa pili ambae hana haki ya kujipigia kura mwenzake ni yule wa uzini
 
Samahani wakuu....
Hivi sifa ya kuwa mTanzania ni kuwa na kadi ya kura?
Hivi kuwa na kadi ya kura ni moja ya sifa ya kugombea ubunge?

Kama majibu ya maswali haya ni NDIYO basi maswali yako ni valid kabisa, na kama hana kadi basi watakuwa wanafanya makosa makubwa sana ya kubaka demokrasia

Unless otherwise.....................................

Pamoja na maswali yako hayo, kama mgombea mwenyewe haweza kupiga/kujipigia kura then, nani ampigie?
 
Back
Top Bottom