Wadau kuna mdogo wangu anaendesha shughuli za kukodisha music katika harusi, disco, mikutano nk, katika kukabiliana na washindani wake ilibidi tutafute pc ili kuboresha na kuvutia zaidi wateja, si mnajua tena mambo ya mikoani.
Kwamuda sasa anatumia windows media player na software moja imenitoka kidogo ila ya kizamani na kichovu, ufanisi unakuwa sio mzuri sana
Naomba mwenye kuzijua software nzuri kwa shughuli hii anitajie jina, kama zipo za kudownload free nikipata link itakuwa powa zaidi,
kama za kununua basi nikijua jina nitazama kwa waungwana wa kushare yaani torrents.
NAWASILISHA