Ni serikali ya awamu ya ngapi imeongoza kuvunja haki za raia wa Tanzania?

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Dunia nzima katika karne hii haki za binadam na Demokrasia ni utamaduni ambao haupingwi bali kusisitizwa hili kuleta amani na maendeleo.
Haki za binadam na Demokrasia katika jamii vinasimamia zaidi na serikali na kupitia sheria na kanuni ambazo pia kila mwanajamii anahusika moja kwa moja,asasi za kiraia,vyombo vya usalama n.k
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine ni mojawapo ya mataifa yaliyotia saini kwenye mikata mbali mbali ya kimataifa,kibara na kikanda lakini pia ni taifa mojawapo linalokabiliwa na tatizo la uvunjifu wa haki za binadam.
Je ni serikali ya awamu hipi unadhani imeongoza katika kufunja na kutoheshim haki za binadam?
 
Back
Top Bottom