4X4byfar
JF-Expert Member
- Oct 29, 2008
- 201
- 17
...kwanza kabla ya yote za leo wandungu wapendwa.
Leo nimekuja na swali, hivi ni sawa kweli kwa mtu kumuacha mpenzi/mme/mkee wake kwa sababu ya kutoambiwa "I love you", I miss you, and all the romantic staffs which I have not mentioned! au kutakuwa na mambo mengine. Na, je awezeje kumpa huyo mtu somo aelewe kuwa hivyo ndo ni visisimuo vyake katika mahusiano, especially kama umeshamueleza na akaonyesha dalili ya kujirekebisha. Hapo hapo unakuta huyo mtu alikuwa akiimba hizo sentences kwa sana tuu, then ghafla akasiizzz.