Ni sawa na kwenda Mpirani...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
[h=6]Fikiria:

Ni sawasawa na kwenda mpirani halafu refa anakataza chenga zisipigwe, mashabiki wasishangilie, furaha isioneshwe na magoli yasifungwe. Na yakifungwa, mfungaji asishangilie kwa mbwembwe! Yaani, watu wanapiga mpira tu, bila kugusana, kupigana ngwala, kuchomekeana n.k Sijui nani atalipa kwenda kuangalia!
[/h]
 
Labda refa anaogopa kwa vile timu moja ni dhaifu sasa akiruhusu hayo yote anaona timu moja itazidiwa tu! Ingekuwa ni hivyo haina haja ya kulipa kwenda kuangalia!
 
[h=6]Fikiria:

Ni sawasawa na kwenda mpirani halafu refa anakataza chenga zisipigwe, mashabiki wasishangilie, furaha isioneshwe na magoli yasifungwe. Na yakifungwa, mfungaji asishangilie kwa mbwembwe! Yaani, watu wanapiga mpira tu, bila kugusana, kupigana ngwala, kuchomekeana n.k Sijui nani atalipa kwenda kuangalia!
[/h]

Huwezi kufunga au kujaribu kufunga magoli ya kisigino kama Balotelli wakuachie tu - wanasema you are bringing the game into disrepute!
 
hata sheria za ngumi zinakataza kumchezesha -heavy weight na paper weight na refa alijua wazi
 
hahaha km kuna mlokole flani alikuwa anakuja mitaa ya home pale iringa kutuhubiria neno la bwana, mida yake ilikuwa jioni wakati sie jioni tunakwenda uwanjani kulisakata boli, ili kutuvutia tubaki tusikilize mahubiri alikuwa anatuambia eti kucheza mpira ni dhambi sababu unapompiga chenga mwenzio UNAMDANGANYA eti badala ya kupita kulia wewe unapita kushoto hahahahahaha!!! SOCCER THE GAME WE LOVE!! the Beatiful game!!
 
Utamu wa mechi ni pale timu pinzani zinapojuana mbinu zake, na unazidi pale refa anapokuwa hayuko fair na mechi haikatizwi.... naifananisha mechi hii na ile ya Kameruni ya kina Roger Milla iliyoitoa kamasi Uingereza... na bila kusahau uingereza ilikuwa na wachezaji 13 kiwanjani!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom