Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,307
Nishakujibu kwamba hilo gari lenye nembo limetumika makusudi kuwaonyesha wazi watu kwamba kuna ujumbe wa familia ya PM hapa, hawakukosa shangingi la STK hawa watu wana magari kama wewe ulivyo na suruali labda.
Mwishowe utasema Waziri Mkuu asipande kwenye gari lenye nembo na mkewe, mkewe amfuate nyuma anajiendesha kwenye ki-Datsun.
unareason kitoto,acha na sisi tukupeleke kitoto unavyotaka,kwa hiyo hata kama angeenda mtoto wake na gari yenye nembo ni sawa tu,ili mradi watu waone gari la serikali? Swala hapa ni nembo ilitumika ipasavyo au wali miss use matumizi ya nembo?