eti jamani shemeji yeni anashindana mishahara na mie,got a new job na sasa napata mshahara zaidi yake ila inakuwa ishu kwake!yeye anataka awe ananizidi mshahara always
]Muulize Mwita25[/COLOR], vitu vya namna hii yupo fiti sana, anaweza akakupa hata uzoefu wa kushindanisha GPA, Divisions nakadhalika
Yaani hawa wanaume zetu acha tu na ukipanda kidogo tu inakuwa taabu oohhh nimekusaidia mpaka umepata hiyo kazi mpaka unashangaa kwenye interview huwa mnaingia watu wawili na yeye anakusaidia kufanya interview.................................mara oohh eti hunisadii mara kimepanda kimeshuka kwani kukusaidia lazimaaa
Yaani hawa wanaume zetu acha tu na ukipanda kidogo tu inakuwa taabu oohhh nimekusaidia mpaka umepata hiyo kazi mpaka unashangaa kwenye interview huwa mnaingia watu wawili na yeye anakusaidia kufanya interview.................................mara oohh eti hunisadii mara kimepanda kimeshuka kwani kukusaidia lazimaaa
eti jamani shemeji yeni anashindana mishahara na mie,got a new job na sasa napata mshahara zaidi yake ila inakuwa ishu kwake!yeye anataka awe ananizidi mshahara always
nahisi kama huyo mumeo umemchoka hadi basi....
<br />Yaani hawa wanaume zetu acha tu na ukipanda kidogo tu inakuwa taabu oohhh nimekusaidia mpaka umepata hiyo kazi mpaka unashangaa kwenye interview huwa mnaingia watu wawili na yeye anakusaidia kufanya interview.................................mara oohh eti hunisadii mara kimepanda kimeshuka kwani kukusaidia lazimaaa