Ni salama ku-do this day?

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Samahani wapendwa,hivi kuna madhara gani kufanya mapenzi ukiwa katika siku zako kwa wote female na male?
 
Mmh, tabu ni pale kicheni pate zinapohamia JF, by the way, muuliza swali, binafsi mwaya sijui ila nilishisikia kwenye mafundisho fulani hivi kua kama umepewa siku zote hizo za kulala na mkeo au mumeo kwa nini kipindi hiki tena kifupi tu usiwe mvumilivu?? Nadhani hii ndip point...subiri hayo maji yapite kisha teka hayo masafi uyanywe ndipo kiu yako itakapo pungua na kuisha.

Asante
 
Samahani wapendwa,hivi kuna madhara gani kufanya mapenzi ukiwa katika siku zako kwa wote female na male?

Labda nikuulize kwanza Speaker, wanaume nao wana siku zao??????Anyway, when one door is closed, others are open!
 
Labda nikuulize kwanza Speaker, wanaume nao wana siku zao??????Anyway, when one door is closed, others are open!
bob marley siyo?aya bwana ebu ntafute ipod ilipo nipate swaga za kibusara zaid by the wheel of natural tree for brain food n wise eye!!!!
 
bob marley siyo?aya bwana ebu ntafute ipod ilipo nipate swaga za kibusara zaid by the wheel of natural tree for brain food n wise eye!!!!

karibu breakfast Rose, unakulaga mchemsho wa mdudu?????karibu tujumuike bana
 
karibu breakfast Rose, unakulaga mchemsho wa mdudu?????karibu tujumuike bana
naja babu!!
nakula kila kitu mwaya iwe mdudu ,wadudu au vijidudu wanyama wenye manyoya na wasio na manyoya
wenye kuruka na kutambaa!!!!
 
Kiukweli kabisa haina tatizo kama imeshapungua isiwe zile siku ambazo inatoka nyingi sana. Kwa kawaida kama siku ya tatu na kuendelea haina noma kabisaaaa!! Cha muhimu ni kumfuta mwenzio mapema nawe kunawa na kuvaa pedi tena mapemaaaaaa!! Kama mnakinai sana damu basi jioshe na maji ya mchele inatulia kidogo kwa muda!! tena unajua wakati wa siku zako huko chini kunakuwa kwa motoooo. Na kama inatoka kidogo unaweza kufanya bila hata mwenzi wako kujua
 
Je kama me/ke wako amesafiri kwa wiki tatu lets say then kaja uko kwenye siku zako na ku ya hatari utafanyeje?
 
Back
Top Bottom