Ni sahihi/ruhusa kutoka na ex wa rafiki yako?

Hivi kuwekeana post za kujaribiana ndo lengo la jukwaa hili? Kama mtu ana tatizo si aseme asaidiwe.... Mzeewaloliondo, hili jukwaa si kama ile central page ya gazeti fulani unapokutaga mada 'ukigundua mumeo anatembea na mamako' au 'siku ukigundua mumeo ni shoga'. Halafu unakuta mijitu inatuma SMS kwa nguvu zote kuchangia topic. Hebu tu-mantain hadhi ya jukwaa!

...together bana, we are in the same boat, wachokozi sana hawa! ha ha ha!...

I have been dating my friend's ex-girlfriend for 5 years. Ila jamaa hajui!!

...Kaka, duuuuh!...
Iwapo niliachana nae vizuri haina shida, lakini iwapo niliachana vibaya na ex-wangu!
urafiki unaishia hapo hapo (nikijua!)

...halafu lazima nilipize! :mad2:
 
Duh!! Hii ilitokea Juzi kati mpenzi wa rafiki yangu walitosana then yule Binti akanitaka tuendeleze Gemu but baada ya kufikiria hayo maswali uliyouliza hapo juu!!! Nikasitisha kila ki2!!!
Haipendezi kwakweli!!!
 
Yes he is one of my best friends. Ila jamaa alimwacha demu akaoa mwanamke mwingine. That is when I became her crying shoulder!

Sio mbaya ila mjuze mwenzio ikiwezekana muoe kabisa kama unampenda ki hivyo
 
...together bana, we are in the same boat, wachokozi sana hawa! ha ha ha!...

...Kaka, duuuuh!...
Iwapo niliachana nae vizuri haina shida, lakini iwapo niliachana vibaya na ex-wangu!
urafiki unaishia hapo hapo (nikijua!)

...halafu lazima nilipize! :mad2:
Mbu Mungu hapendi visasi
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hivi kuwekeana post za kujaribiana ndo lengo la jukwaa hili? Kama mtu ana tatizo si aseme asaidiwe.... Mzeewaloliondo, hili jukwaa si kama ile central page ya gazeti fulani unapokutaga mada 'ukigundua mumeo anatembea na mamako' au 'siku ukigundua mumeo ni shoga'. Halafu unakuta mijitu inatuma SMS kwa nguvu zote kuchangia topic. Hebu tu-mantain hadhi ya jukwaa!

kaka hii inakuhusu nini? Naona imekugusa sana
 
Sasa kwani mlitaka aleteje mada? mbona iko wazi? mbona wote waliosapot wanatoaga mada kimtindo huu hawajiongelei wao bali wanajifanya rafiki yangu mara jirani yangu mbona huw hamjikosoi? acheni hizo kama ameleta ki indirect ni yeye aliamua sie tuchangie na sio kumbeza, na kama mnapenda true story mbona watu humu naweza kuwamention wanaleta mada zinazowahusu wao kabisa still mnawabeza? acheni upendeleo jamani ,ndio hivo

Kweli kabisa berry hoja inaeleweka kabisa na zinakujaga kihivihivi tu. Ngoja uone mtu fulani katoa kithread chake hakina mbele wala nyuma mithanx kibao, ila hii isikupe tabu fanya ulichofata usichokonoesana na wewe.mgeni umekaribishwa sebuleni unapitiliza mpaka chumbani!!?
 
Hivi kuwekeana post za kujaribiana ndo lengo la jukwaa hili? Kama mtu ana tatizo si aseme asaidiwe.... Mzeewaloliondo, hili jukwaa si kama ile central page ya gazeti fulani unapokutaga mada 'ukigundua mumeo anatembea na mamako' au 'siku ukigundua mumeo ni shoga'. Halafu unakuta mijitu inatuma SMS kwa nguvu zote kuchangia topic. Hebu tu-mantain hadhi ya jukwaa!

Aisifiye mvua imemnyea pole Mphamvu, hoja iko wazi kabisa
 
Hivi kuwekeana post za kujaribiana ndo lengo la jukwaa hili? Kama mtu ana tatizo si aseme asaidiwe.... Mzeewaloliondo, hili jukwaa si kama ile central page ya gazeti fulani unapokutaga mada 'ukigundua mumeo anatembea na mamako' au 'siku ukigundua mumeo ni shoga'. Halafu unakuta mijitu inatuma SMS kwa nguvu zote kuchangia topic. Hebu tu-mantain hadhi ya jukwaa!

Utu uzima kisima cha maarifa.:A S 41::A S 41:
 
Nilishawah kupata majaribu hyo ila nilikataa coz niliona inaweza leta uadui
 
Hauna sababu ya kuwa na hofu iwapo wewe haukuwa chanzo cha kuachana kwao.
Kikubwa ni kuwa makini. Isije kuwa unakimbilia nyuki wakati mwenzio amewakimbia.
Hii kitu imemtokea rafiki yangu nilimuonya namuacha huyu dada japo mzur ila hafai akabisha saivi anavidonda vya tumbo na kisukari ila hata me alinikondesha nkabaki kichwa tu
 
Back
Top Bottom