mchambakwao
Member
- Dec 9, 2011
- 77
- 14
miaka hamsini na vifaa vya kizamani na hasa used kama sheria ilivyopitishwa.Vifaa vya long ****er,wanavionesha hadharani,si aibu! Akha! Inakera
Wana zana za hatari za kivita al-shabub wakijikok wanalo du!
Labda wanaonesha vifaa vilivyotengenezwa Nyumbu, hivi bado ipo?
... kwa silaha nzito ni kweli tunazo, hata mimi nakubaliana na wewe mkuu, lakini je, kwa wale wataalam wa maambo ya ki intelijinsia, hamwoni kuwa kwa namna hii ni hali kujiweka katika mazingira hatari zaidi kwa kuwaonesha maadui zetu, and especially external enemies (including the Al-Shaababs, of course) aina ya silaha tulizonazo?
ni mtazamo tu ...
Karibu nchi zote duniani huwa wanaonyesha silaha zao kwenye sherehe za uhuru... kwa silaha nzito ni kweli tunazo, hata mimi nakubaliana na wewe mkuu, lakini je, kwa wale wataalam wa maambo ya ki intelijinsia, hamwoni kuwa kwa namna hii ni hali kujiweka katika mazingira hatari zaidi kwa kuwaonesha maadui zetu, and especially external enemies (including the Al-
NShaababs, of course) aina ya silaha tulizonazo?
ni mtazamo tu ...
Hapana, hivyo vifaa vilitumika kwenye vita kuu ya kwanza na pili ya dunia, hivyo vifaaa ni duni sana kwa technology ya sasa hivi.
Silaha za zamani