Ni sahihi kuendelea kuwasiliana na Xboyfriends wakati umechumbiwa tayari?

...Mpe miaka mitano ya kuanza kuwataarifu wanaume wake wa miaka ya nyuma kwamba ameamua kuolewa, hivyo akimaliza kuwataarifu katika kipindi hicho cha miaka mitano na kisha kuwatosa na kukata mawasiliano nao kabisa ndio muanze maandalizi ya harusi yenu.

Habari zenu wadau? Poleni na mihangaiko ya kimaisha!


Wadau, wiki jana nilikuja na mada hapa jamvini kuwa mchumba angu hataki kutoa kitu hadi siku nikimwoa.

Lakini nimegundua kuwa anaendelea kuchart na wanaume wengine. Nilivyomuuliza anadai kuwa hao ni wapenzi wake wa zamani hivyo bado hajawaambia kuwa anaolewa lakini nisijali atawapotezea taratibu! Kwani hawezi kuwatosa ghafla.

Nahisi nimevunjika moyo kabisa na nimeamua bora nimpotezee kabisa huyu binti.

Kabla sijachukua uamuzi tofauti naomba ushauri wenu!

Nawasilisha!!!
 
huyo binti ana mgodi wa buzwagi katikati ya miguu nini mkuu? huyo angekuwa wa kupiga chini fasta without even a second thought....
 
Back
Top Bottom