Ni rahisi Clinton kuwa Rais wa Tz, kuliko CDM kushinda Arumeru!

mkinionea Pasco wa JF jamani namwita hapa hapa kwenye huu uzi.... (heheheeeiyaaa alisemahata kabla ya kampeni Sioi kashinda anasubiri kuapishwa!)

Arusha oyeeeeeeeeeee
Chezeiyaaa sisi wao
 
Hivi jamani hali ya Mwigulu inaendeleaje? Aliahidi kunjwa sumu kama CHADEMA ikishinda.
 
Kwekwekwekwekwekwe!!!


Asipojinyonga tunamnyonga wenyewe , kudadadeki.

Hw mafisadi hawanaga aibu hata lepe!

Ila hakika mbinu zao zimekwisha kitambo!
Safari hii ni kwmb ktk chaguzi yoyote ile hawa mafisadi ukishindana nao ni sawa unamsukuma mlevi wa chang'aa tu!
Hawana sera tena!!
 
Hii ni kauli ya Mwigulu Nchemba hapa JF...!
VALIDITY YA HUU USEMI IKO WAPI?...Je atawajibika kwa kufuta kauli hii?

Nilimwambia kuwa matokeo yakitoka atakimbia kama kina makamba walivyofanya kule tarime.......yametimia.... Pipoooooooz..........
 
Mwigulu Nchemba amepata ugonjwa wa tumbo la kuharisha na sasa yupo toilet anaharisha
 
Ndugu zetu MAGAMBA kama kusoma hamuwezi hata picha hamuioni! Jeneza lenu liko tayari! Msumari wa mwisho 2015!
 
Napenda kutuma salam kwa mkuu wa kaye pale magogoni, napenda kutuma salamu kwa makundi yote ndani ya ccm... tena tunawashukuru sana... waendelee na moyo huohuo, napenda kutuma salamu kwa wapiga kura wa Tanzania yote.. kuelekea 2015
 
Hii ni kauli ya Mwigulu Nchemba hapa JF...!
VALIDITY YA HUU USEMI IKO WAPI?...Je atawajibika kwa kufuta kauli hii?

Nchemba is the all time looser, alishindwa siasa za chuo kikuu cha Dar alipokuwa pale ataweza siasa za nchi hii.Akina Zitto walifanya vizuri chuoni ndio maana anaweza.
 
hapa sio kumtaja ..hata mimi nakumbuka kuna mjinga alisema hivyo ila sikumbuki jina lake
 
Hii ni kauli ya Mwigulu Nchemba hapa JF...!
VALIDITY YA HUU USEMI IKO WAPI?...Je atawajibika kwa kufuta kauli hii?

Mkuu kazi muhimu sasa ingekuwa kwenda kuhakiki ile "transaction" ya mahindi kama yalitolewa kwa kufuata taratibu za kupambana na janga la njaa au yalitolewa kuwadhihaki watu wa MERU kama wanadanganyika kirahisi
 
Bora mambo ya uchaguzi yameisha na tumebaki na amani yetu

Kwani uliambiwa amani yako ipo likizo wakati wa uchaguzi??
ndio hivyo tena wenzio tumeshashinda wakiti nyie mmelala bila chuuup.
 
Back
Top Bottom