" POLITICIANS THINK ABOUT THE NEXT ELECTIONS WHILE STATESMEN THINK ABOUT THE NEXT GENERATION " Wanasiasa wetu wote akili zao siku zote ziko kwenye mbinu za jinsi ya kushinda chaguzi kwa harali au kwa haramu!! Mtu pekee katika nchi yetu aliyekuwa anajali maslahi ya vizazi vijavyo katika maamuzi yake alikuwa MWALIMU NYERERE basi!! Ndio maana hakuwa na pupa ya kuwaleta wazungu kuchimba madini yetu kwani alijua kuwa wakati muafaka ulikuwa bado; angalia sasa hawa mafisadi wanavyohujumu maliasili yetu mpaka wakina Lowassa wanadiliki kuuza mbuga zetu za wanyama kwa matajili ili wajenge mahoteli. Kambarage angeanza kwa stili hiyo leo kungekuwa na SERENGETI??
...na kweli, labda 'alikusudia' nyakati za ujima (barter trade) ndani ya siasa ya Ujamaa na kujitegemea, ingawa vile vile naweza kukubaliana naye, bila mipango thabiti, kweli pesa huenda ikakuzamisha badala ya kukuendeleza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.