Ni pikipiki gani nzuri kwa biashara ya Bodaboda?

Hzanzibar ASP.....umeongea mambo mazurisana juu ya bodaboda ila unaposema pikipiki zenye spare nafuu na imara hapo sikuelewi hata kidogo bz bei kuwajuu ni matokeo ya uimara wa spare yenyewe, pia unapoigusa boxer alafu ukasema haina nguvu ya kubeba mzigo mzito lazima utafiti menu zake uzisome vizuri kisha linganisha na zingine,kiukweli boxer inanguvu sana ila mwonekano wake ni mzuri pia tambua boxer imeundwa kwa nondo na udongo mzito sana while fekon cjui nani wao wameundwa kwa bomba na bati.

Ila hii biashara ya bodaboda km unaiendesha mwenyewe dah siomchezo unapiga pesa nzuri tu.
Kunajirani yetu hapa home kajenga nyumba ya vyumba5 imekamilika wanaishi na tangu ananunua kiwanja alikuwa na kazi hii ya Pikipiki kisha ndani ya mwaka akaanza ujenzi mdogomdogo ndani ya mwaka na miezi4 akahamia nyumba ikiwa completely yakisasa sana.
Kwakuwa nijirani na rafiki yangu akaniambia kuwa anachokifanya nikwamba ktk hesabu zake hupata sichini ya elfu35000/= kwa sikumoja sasa anaigawa hivi
Buku10000 anaitunza ya pikipiki km hesabu
Buku5000 anatunza km akiba kifamiliya
Buku 5000 huiweka PPF kilasiku km akiba yake kwa hiari
Buku 7000 msosi home
Buku5000 matumizi/msosi wake kutwa
Mafuta maranyingi huweka full tank asubuh kwa hela ya jana na kumbuka kunasiku huingiza hadi60000/=

So kwa maelezo yake nikagundua anauakika kila miezi6/7 kupata boxer mpya kwani saizi anazo pikipiki4 boxer zikiwa2 na san lg 2.

Pia huyu jamaa ni graduate pale Udsm alisona CASS idara ya FPA(fine art and performing Arts) mwaka 2012 alipoona ajira issue akafanya biashara tofautitofauti mwishowe akazamia road.

Anatumia elimu yake vizuri kwamfano kwa kujiwekea akiba ya baadae kuchangia ppf hatimae anabima ya afya ya nhif japo anapata huduma binafsi but na mkewe nae kajisajiri ppf anabima ya nhif. Sasa anahakikisha kila mwezi anaweka 150000/=ppf yani kwa mwaka ni 1800000/= na anasema maranyingi huweza zaidi kwakuwa anatumia huduma za simu kuchangia.
Lakini bado anahakikisha kila mwezi 150000/= hela ya dharula ya familiya na 300000/=akiba ya pikipiki yake binafsi.

Sasa kwa wale wadharau kazi za bodaboda nadhani kuna darasa flan mmelipata
 
kuna kijana namfahamu mara nyingi huwa ananibeba na pikipiki yake, aisee anaingiza pesa nying sana kuliko anaefanya kazi ofisin na hana makato ya mfanyakazi, nikaja kugundua kuwa ana nidham na kazi yake na anajenga uhusiano mzur na wateja wake kias kwamba mteja akishuka tu kwenye gari anamtafuta yeye ambebe na yuko makini sana barabarani, anahesgimu kazi yake na kuithamin. Nimeongea nae na nina mpango wa kumpa bodaboda ya biashara kwa mkataba hapo mwakani. Tusidharau kazi za wengine kwakuwa hawako ofisin au sekta maalumu ila unaweza kuta hata hawa mama lishe wanaingiza pesa nzur na ndefu kuliko anaekesha ofisin na kuja kupokea mwisho wa mwezi. Pia watu weng wanakatisha wenzao tamaa mara ohh bishara ya pikpik haifai na hawajui kuwa ktk biashara yoyote ile kuna changamoto nying sana na ili uwe mfanyabiashara mzuri na mwenye mafanikio, unatakiwa upitie changamoto tofaut na pia uwe risk taker
 
Kwa sasa tunashukuru dharau zimepungua kwakuwa graduate wengi wapo ktk biashara ndogo ndogo hata za machinga na wengine misingiyao nafuu wapo ktk bajaji na bodaboda baada ya ajira kukosekana. Tatizo nikwamba kadri wasomi wanavyoongezeka ndivyo ajira zinavyo pungua na maendeleo ya sayansi natekelinalokuja(technology)

Mfano nchi km nigeria bodaboda wengi na tax drivers ni graduate ndiomana wanaheshimika.

Kiukweli bodaboda inalipa kinoma hasa ukiendesha mwenyewe usipime lazima ujenge ukijipanga na kuchangia mifuko ya jamii na kupata bima ya afya na familia kuisongesha kama boss flan ktk idara flan.
We jifanye msomi ugange njaa wenzio tunapigatu mahela na siku hazirudi
 
Kama unataka ununue pikipiki uendeshe mwenyewe nakushauri ununue boxer(2,000,000) bshaka utakua makini kwenye uendeshaji,usafi,matunzo na service. Lakini kama mpango wako ni kununua na kumpa mtu akuendeshee nakushauri ununue SUNLG(1,800,000) au FEKON(1,650,000).

Kununua Boxer alafu ukampa mtu akuendeshee naomba nikwambie kuwa hiyo pesa yako kamwe haitorudi kwan itawahi kuharibika kabla ya kurejesha mtaji na faida. BOXER ya miezi 6 ukiiona haitamaniki na hasa hawa madreva dizaini ya akina mcharo ndo kabisaa mwaka haimalizi ushapeleka dampo. Otherwise hii biashara ya bodaboda utapata pesa kama unaendesha mwenyewe ila kumpa mtu aendeshe inakula kwako.

Kama una 2.5mln unaweza kupata Bajaj ya mkopo... ukawa unarejesha taratibu ndani ya miezi 6 umemaliza unaanza kula pesa tu. Jiulize misimu ya mvua kama hii nani anapanda bodaboda? Wengi wameenda likizo. Ni hayo tu.
Mkuu me pia nataka kujua ukichukua bajaj ya mkopo mill 2.5 marejesho yake sh ngap kwa miezi 6 ili nijipange
 
Unapotafuta Pikipiki kwa ajili ya kufanyia biashara unapaswa kuzingatia kwanza mambo yafuatayo.
1/MAZINGIRA(Aina ya barabara, Je ni Lami au Changarawe, Tambarare au milima/mitelemko, mjini au kijijini nk.)

2/UTAMADUNI(Kila mahali kuna aina ya pikipiki inayofahamika na kupendwa na madereva na wateja)

3/VIPURI(Pikipiki ina matengenezo mengi madogo madogo kila mara, hivyo hakikisha vipuri vyake ni vinapatikana kwa urahisi, nafuu na Imara).

4/NGUVU(Kuna za 125cc(Nguvu ya kawaida, mafuta kawaida) na 150cc(ina nguvu zaidi, mafuta zaidi kidogo na bei juu kidogo). Kwa biashara ya boda boda 150cc inafaa zaidi kwa kuwa inahimili mzigo mzito kidogo)

BAADHI YA PIKIPIKI ZINAZOTUMIKA KWA BODA BODA.
(a)KINGLION(Inafaa popote, Ni nzito, ngumu na Imara. Bei 1.7milion)

(b)FEKON(Inafaa popote, ni nzito, ngumu na Imara.Bei 1.7milion)

(c)TOYO(Inafaa popote, ni nzito, ngumu, imara. Bei 1.7milion)

(d)SKYGO (Inafaa barabara zote lakini haifai milimani, ni imara lakini sio ngumu sana. Bei 1.6milion)

(e)BOXER (Inafaa mjini tena kwenye barabara nzuri, ni Lexury. Bei 2.2milion. Ndio pikipiki yenye kupendwa zaidi na wateja wa mjini, nyepesi, haina kelele wala moshi. Vipuri vyake ni ghali zaidi. Haifai vijijini au kubeba mizigo)

*Makampuni mengi siku hizi(Kinglion, Fekon, Skygo, Toyo) yametoa pia matoleo ya pikipiki zenye muundo na mwonekano wa boxer(Luxury) bei 2milion hivyo usishangae.
Zipo kampuni nyingi sana zenye majina tofautitofauti ambazo zijazitaja hapo kama Honda, Shineray, Huawang nk.
Asante mkuu
 
Boxer bm 150 hata kukiwa na kazi maalum waweza itumia pia.2.2mil
Mi ninayo ya kwangu nilimpa kijana wa bodaboda akaja zingua nikampokonya sasa naendesha mwenyewe kwa shughuri zangu, luxury sana hizi Pikipiki, ngumu kuharibika ingawa baadhi ya spare zake bei kubwa kidogo.$ @ ukibeba mdada kwenye boxer BM150 kesho lazima hakutafute (ni utani tu)

Mpita njia na Porojo za Mtaani
 
kwa kipindi hiki kati ya boxer na tvs pikipiki gani ni nzuri zaidi.....hasa uchakavu wa spare
 
Hzanzibar ASP.....umeongea mambo mazurisana juu ya bodaboda ila unaposema pikipiki zenye spare nafuu na imara hapo sikuelewi hata kidogo bz bei kuwajuu ni matokeo ya uimara wa spare yenyewe, pia unapoigusa boxer alafu ukasema haina nguvu ya kubeba mzigo mzito lazima utafiti menu zake uzisome vizuri kisha linganisha na zingine,kiukweli boxer inanguvu sana ila mwonekano wake ni mzuri pia tambua boxer imeundwa kwa nondo na udongo mzito sana while fekon cjui nani wao wameundwa kwa bomba na bati.

Ila hii biashara ya bodaboda km unaiendesha mwenyewe dah siomchezo unapiga pesa nzuri tu.
Kunajirani yetu hapa home kajenga nyumba ya vyumba5 imekamilika wanaishi na tangu ananunua kiwanja alikuwa na kazi hii ya Pikipiki kisha ndani ya mwaka akaanza ujenzi mdogomdogo ndani ya mwaka na miezi4 akahamia nyumba ikiwa completely yakisasa sana.
Kwakuwa nijirani na rafiki yangu akaniambia kuwa anachokifanya nikwamba ktk hesabu zake hupata sichini ya elfu35000/= kwa sikumoja sasa anaigawa hivi
Buku10000 anaitunza ya pikipiki km hesabu
Buku5000 anatunza km akiba kifamiliya
Buku 5000 huiweka PPF kilasiku km akiba yake kwa hiari
Buku 7000 msosi home
Buku5000 matumizi/msosi wake kutwa
Mafuta maranyingi huweka full tank asubuh kwa hela ya jana na kumbuka kunasiku huingiza hadi60000/=

So kwa maelezo yake nikagundua anauakika kila miezi6/7 kupata boxer mpya kwani saizi anazo pikipiki4 boxer zikiwa2 na san lg 2.

Pia huyu jamaa ni graduate pale Udsm alisona CASS idara ya FPA(fine art and performing Arts) mwaka 2012 alipoona ajira issue akafanya biashara tofautitofauti mwishowe akazamia road.

Anatumia elimu yake vizuri kwamfano kwa kujiwekea akiba ya baadae kuchangia ppf hatimae anabima ya afya ya nhif japo anapata huduma binafsi but na mkewe nae kajisajiri ppf anabima ya nhif. Sasa anahakikisha kila mwezi anaweka 150000/=ppf yani kwa mwaka ni 1800000/= na anasema maranyingi huweza zaidi kwakuwa anatumia huduma za simu kuchangia.
Lakini bado anahakikisha kila mwezi 150000/= hela ya dharula ya familiya na 300000/=akiba ya pikipiki yake binafsi.

Sasa kwa wale wadharau kazi za bodaboda nadhani kuna darasa flan mmelipata
Mkuu ahsante kwa somo zuri. Kama bado uko jf forum ukuje huku kuna ujumbe wako.
 
Back
Top Bottom