Ni pepo gani kaingia kncu?

M4C ARUSHA

Member
Apr 27, 2012
38
4
Chama kikuu cha ushirika mkoani Kilimanjaro KNCU sasa kimekuwa katika hali mbaya ya kiuchumi hali kadhalika na kiutendaji hali inayokipelekea chama hicho kikongwe shimoni.

Hali hiyo inatokana na mwenyekiti wa bodi ya chama hicho mernad swai kuendesha chama hicho mithili ya familia yenye watoto wachache

Mfano hai ni mwenyekiti huyo kujidhinishia kiasi kikubwa cha pesa bila kuweka bayana matumzi yake huku akigoma kuweka saini yake kama taratibu za fedha zinavyotakiwa

Baada ya kuona watendaji wanataka kufuata miongozo ameanza kutengeneza zengwe na watumishi huku akitaka bodi iwafukuze ili aweze kubaki na wale wanaomtii ili iwe fursa pekee ya kukwapua mali za kncu

Mwenyekiti huyu tangu aingie KNCU amekuwa akiondoa watumishi hali iliyopelekea osi kuwa na kaimu zaidi ya miaka mitatu huku watu wenye taaluma zao wakipakimbia kuogopa kufungwa kutokana na amri za mwenyekiti huyo

Taarifa za ndani zinaeleeza kuwa mwenyekiti huyo amekuwa akidai kuwa hawezi kufanywa lolote na uongozi wa nchii kwa kuwa yeye ana mtandao hivyo ni mtu wa systeam

Tarifanyingine ianeleza kuwa waziri wa chakula kilimo na ushirika Christopher chiza alikatazwa na systeam kuja katika ziara yake ya kikazi KNCU kwa madai kuwa ni sawa na kuja kupalilia uovu.
 
Huyo sio mwenzetu anatimiza matakwa yake na aliyotumwa ,kwa kuwa mmeshamjua ni kumtoa tu mara nyingine hajui hata nini anafanya kwa wakazi wa kilimanjaro na taifa kwa ujumla ,yaani anahujumu kncu.
 
Back
Top Bottom