Ni Nini Umefanya leo Kupambana na Ufisadi/kusaidi Taifa?

Chapakazi

JF-Expert Member
Apr 19, 2009
2,874
310
Kutokana na kushamiri kwa Ufisadi Tanzania, nimependa kuanzisha hii thread, kusudi watu tubadilishe muelekeo. Kumbuka mabadiliko yanaanza na wewe, sio yule au serikali! Hivyo ningependa tujiulize, 'leo nimefanya nini katika kupambana na huu Ufisadi?' Hii inaweza pia kuwa upambanaji na tatizo lingine lolote linalokumba Taifa kwa ujumla. Kwa mfano, umaskini! Unaweza ukawa umemnunulia mtoto yatima lunch, au kitu kingine chochote.

Tujaribu ku-Post our positives to motivate others...

Shukran...
 
Back
Top Bottom