Baba Jazey
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 493
- 542
daaah mkuuu nmeona tunashukuru kwa elimu nzurTayari nishajibu. Fuatilia uzi huu... Nilikuwa nimelala kwanza nilipouona uzi huu so nisingeweza kujibu nikiwa na usingizi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaah mkuuu nmeona tunashukuru kwa elimu nzurTayari nishajibu. Fuatilia uzi huu... Nilikuwa nimelala kwanza nilipouona uzi huu so nisingeweza kujibu nikiwa na usingizi...
In summary.Tofauti ya gari moja na nyingine haiko kwenye speed kama ambavyo unaiona kwenye dash board, bali iko kwenye vitu hivi vikubwa viwili:
Acceleration (Horse Power) na Torque (Uwezo wa kuvuta mzigo/Tela nk).
Gari nyingi za Petrol zina Horse Power nyingi hivyo kuwa na acceleration kubwa lakini pia zina Torque ndogo.
Yani unaweza ukakuta gari Mathalani GX mia ina Horse power (Uwezo wa Farasi 150) Lakini ukiweka ivute tela ya tani moja gari itashindwa kuondoka na huenda ikazimika). Lakini unakuta gari ya diesel mathalani Fuso ina Uwezo huo huo wa Farasi 150 lakini ukiiwekea ivute tela la tani moja italivuta kama mchezo na hata unaweza ukaondokea kwa gia namba tatu.
Ikija kwenye acceleration:
Ukiishindanisha GX mia na Fuso, GX mia itachomoka kama manyoya na itachukua sekunde chache (say 13 seconds) mpaka kufikia mathalani Speed 100 na wakati Fuso hilo hilo linaweza likachukua sekunde ishirini mpaka kufikia speed 100.
Tofauti ya hizo V8 mbili iko hapo...
V8 ya Petrol inachukua sekunde chache zaidi kuchanganya ukilinganisha na hiyo ya Diesel. Yani kama mmeondoka wote mkiwa na Initial velocity (Speed) Uo =0Km/hr na baada ya sekunde 6 ukapima final velociy Uv, utagundua kuwa ile gari ya Petrol ina uwezo mkubwa wa kuunguza mafuta na kubadili nishati ya mafuta kuwa nishati ya mwendo kuliko nishati a Diesel. Mafuta ya Diesel hayaungui haraka kama Petrol na ndio maana gari nyingi za Diesel zinafungwa kifaa kinachoitwa Turbo. Kifaa hichi husaidia kujaza hewa kwenye injini ili kuchochea combustion (moto) katika engine.
Moja ya kitu kinachosababisha diesel iwe na uwezo mkubwa ni kwa vile Diesel inaungua taratibu na inaungua katika joto kali zaidi kuliko Petrol. Kwa hiyo compresiion ratio ya hewa kwenye cylinder ya engine ya Diesel inaweza kuwa 1:10 wakati ile ya Petrol inaweza kuwa 1:7... Yani hii inamaanisha japo diesel inaungua taratibu, ule mgandamizo wa hewa unaweza kuwa mara kumi zaidi ukilinganishwa na hewa iliyoingia kwenye cylinder wakati ile ya Petrol inaweza kuwa na mgandamizo mara saba zaidi... Mngandamizo unapokuwa mkubwa ina maana kuwa lile pigo la cylinder kuizungusha cranck shafti linakuwa ni la nguvu zaidi.
Hapa ni kama vile katoto kadogo kaje kwa nguvu kakuzabe kofi moja alafu Mike Tyson akupige 'kikofi cha mahaba'. Kofi la nguvu la kale katoto kadogo linaweza likakuacha unatabasamu na wakati kofi moja dogo la Tyson linaweza kukufanya upelekwe hosiptali.
Kwa hiyo pigo moja la engine ya petrol ni sawa nakofi la katoto... Kana nguvu nyingi na kanaweza kakakimbia haraka kuja kukuzaba kofi lakini kofi lake halina nguvu sana. Diesel ni kama Tyson, ana nguvu kidogo ya kukimbia kuja kukuzaba kofi lakini akikupiga kofi lake dogo lina kuwa na nguvu nyingi sana.
Hivyo basi utaona mafuta ya Petrol yakitumika kwenye magari madogo na wakati mafuta ya Diesel yakitumiwa kwenye magari makubwa ambayo yanabeba mizigo mizito hata ya tani thelasini, kwenye engine za meli na hata treni...
Wamarekani kutokana na utajiri wao wanapenda wapate vyote.. Horse power na Torque.. Ndio masna utakuta magari ya Mmarekani yanatumia injini za Petrol na yana injini kubwa kama gari za Diesel.. Gari ya Petrol ya Mjapani yenye cc 2000 (rav 4) mmarekani ametengeneza gari kama hiyo na kuiwekea injini ya Petrol ya cc 4,000 (Jeep Cherokee)!
Kilo 100 za pamba na kilo 100 za sukari ipi nzito?????Ningependa kujua pikpiki ikiwa speed 100 na gari ikawa speed 100 je hazitaachana zitaenda sawa? Nimeuliza hivyo kwa maana juzi kati nilikuwa nasafiri na gari land cruiser v8 petrol engen yenye speed 180 na kuna mwenzangu na yeye alikuwa na na land cruiser v8 diesel engen yenye speed 220 lakini alishindwa kumkata mwenye speed 180 hii ina maana gani ?
Naona unanijaribu.. Nasema, SIJARIBIWI!In summary.
Ulikuwa una maanisha pound feet of torque (pulling power) ndo imesababisha gari yenye 140kph kushindwa kuipita gari yenye 100kph?
Huwezi kupata jibu sahihi bila kuhusisha huyo aliyekua anaendesha hiyo gari unayosema ilishindwa kukupita akwambie tatizo niniNinachokwambia Huyu mwenzangu wote kulikuwa safari moja na alikuwa anataka kunipita ila alichemka na sio kwamba gari yake mbovu na ndio maana nikaanza kwa kuuliza speed 100 ya Pikipiki ni sawa na speed 100/ya gari
Hii akili au matope, hata kama gari ina speed 500 na nyingine ina speed 100 wa mia atakuwa mbele kama atakimbia spidi 80 na wa 500 akikimbia spidi 50 wa 500 ataachwa mbali sana.
NimenufaikaTofauti ya gari moja na nyingine haiko kwenye speed kama ambavyo unaiona kwenye dash board, bali iko kwenye vitu hivi vikubwa viwili:
Acceleration (Horse Power) na Torque (Uwezo wa kuvuta mzigo/Tela nk).
Gari nyingi za Petrol zina Horse Power nyingi hivyo kuwa na acceleration kubwa lakini pia zina Torque ndogo.
Yani unaweza ukakuta gari Mathalani GX mia ina Horse power (Uwezo wa Farasi 150) Lakini ukiweka ivute tela ya tani moja gari itashindwa kuondoka na huenda ikazimika). Lakini unakuta gari ya diesel mathalani Fuso ina Uwezo huo huo wa Farasi 150 lakini ukiiwekea ivute tela la tani moja italivuta kama mchezo na hata unaweza ukaondokea kwa gia namba tatu.
Ikija kwenye acceleration:
Ukiishindanisha GX mia na Fuso, GX mia itachomoka kama manyoya na itachukua sekunde chache (say 13 seconds) mpaka kufikia mathalani Speed 100 na wakati Fuso hilo hilo linaweza likachukua sekunde ishirini mpaka kufikia speed 100.
Tofauti ya hizo V8 mbili iko hapo...
V8 ya Petrol inachukua sekunde chache zaidi kuchanganya ukilinganisha na hiyo ya Diesel. Yani kama mmeondoka wote mkiwa na Initial velocity (Speed) Uo =0Km/hr na baada ya sekunde 6 ukapima final velociy Uv, utagundua kuwa ile gari ya Petrol ina uwezo mkubwa wa kuunguza mafuta na kubadili nishati ya mafuta kuwa nishati ya mwendo kuliko nishati a Diesel. Mafuta ya Diesel hayaungui haraka kama Petrol na ndio maana gari nyingi za Diesel zinafungwa kifaa kinachoitwa Turbo. Kifaa hichi husaidia kujaza hewa kwenye injini ili kuchochea combustion (moto) katika engine.
Moja ya kitu kinachosababisha diesel iwe na uwezo mkubwa ni kwa vile Diesel inaungua taratibu na inaungua katika joto kali zaidi kuliko Petrol. Kwa hiyo compresiion ratio ya hewa kwenye cylinder ya engine ya Diesel inaweza kuwa 1:10 wakati ile ya Petrol inaweza kuwa 1:7... Yani hii inamaanisha japo diesel inaungua taratibu, ule mgandamizo wa hewa unaweza kuwa mara kumi zaidi ukilinganishwa na hewa iliyoingia kwenye cylinder wakati ile ya Petrol inaweza kuwa na mgandamizo mara saba zaidi... Mngandamizo unapokuwa mkubwa ina maana kuwa lile pigo la cylinder kuizungusha cranck shafti linakuwa ni la nguvu zaidi.
Hapa ni kama vile katoto kadogo kaje kwa nguvu kakuzabe kofi moja alafu Mike Tyson akupige 'kikofi cha mahaba'. Kofi la nguvu la kale katoto kadogo linaweza likakuacha unatabasamu na wakati kofi moja dogo la Tyson linaweza kukufanya upelekwe hosiptali.
Kwa hiyo pigo moja la engine ya petrol ni sawa nakofi la katoto... Kana nguvu nyingi na kanaweza kakakimbia haraka kuja kukuzaba kofi lakini kofi lake halina nguvu sana. Diesel ni kama Tyson, ana nguvu kidogo ya kukimbia kuja kukuzaba kofi lakini akikupiga kofi lake dogo lina kuwa na nguvu nyingi sana.
Hivyo basi utaona mafuta ya Petrol yakitumika kwenye magari madogo na wakati mafuta ya Diesel yakitumiwa kwenye magari makubwa ambayo yanabeba mizigo mizito hata ya tani thelasini, kwenye engine za meli na hata treni...
Wamarekani kutokana na utajiri wao wanapenda wapate vyote.. Horse power na Torque.. Ndio masna utakuta magari ya Mmarekani yanatumia injini za Petrol na yana injini kubwa kama gari za Diesel.. Gari ya Petrol ya Mjapani yenye cc 2000 (rav 4) mmarekani ametengeneza gari kama hiyo na kuiwekea injini ya Petrol ya cc 4,000 (Jeep Cherokee)!
Tabu ya mtanzania akiulizwa swali na yeye anauliza swali hii yote ulete dhana ya kubishana tu kama unadhani nimeuliza swali la rahisi ungejibu kwa hoja sio hiki unachotaka kukifanyaKilo 100 za pamba na kilo 100 za sukari ipi nzito?????
mmmmh!!! 80km/h ya bus na 80km/h ya bodaboda vyote vikiwa vimechanganya inamaana vitakuwa sawa!?Hii ni balaa, nadhani kuna haja ya JF kuwe na jukwaa la Sayansi kamili,
Kilo moja ya mawe na kilo ya pamba ipi nzito?, speed ya 100km/hrs kwa chombo chochote ziko sawa
Sasa kaka umeandika 80km/hr wewe unaona tofauti gani? Kwa nini yasiwe sawa?mmmmh!!! 80km/h ya bus na 80km/h ya bodaboda vyote vikiwa vimechanganya inamaana vitakuwa sawa!?
IrrelevantKilo moja ya pamba na kilo moja ya mawe ipi nzito?
Kwani kilo moja ya pamba na kilo moja ya mawe hipi ni nzito?
this is best answer ever;;; asipoelewa tena na hapa basi tenaTofauti ya gari moja na nyingine haiko kwenye speed kama ambavyo unaiona kwenye dash board, bali iko kwenye vitu hivi vikubwa viwili:
Acceleration (Horse Power) na Torque (Uwezo wa kuvuta mzigo/Tela nk).
Gari nyingi za Petrol zina Horse Power nyingi hivyo kuwa na acceleration kubwa lakini pia zina Torque ndogo.
Yani unaweza ukakuta gari Mathalani GX mia ina Horse power (Uwezo wa Farasi 150) Lakini ukiweka ivute tela ya tani moja gari itashindwa kuondoka na huenda ikazimika). Lakini unakuta gari ya diesel mathalani Fuso ina Uwezo huo huo wa Farasi 150 lakini ukiiwekea ivute tela la tani moja italivuta kama mchezo na hata unaweza ukaondokea kwa gia namba tatu.
Ikija kwenye acceleration:
Ukiishindanisha GX mia na Fuso, GX mia itachomoka kama manyoya na itachukua sekunde chache (say 13 seconds) mpaka kufikia mathalani Speed 100 na wakati Fuso hilo hilo linaweza likachukua sekunde ishirini mpaka kufikia speed 100.
Tofauti ya hizo V8 mbili iko hapo...
V8 ya Petrol inachukua sekunde chache zaidi kuchanganya ukilinganisha na hiyo ya Diesel. Yani kama mmeondoka wote mkiwa na Initial velocity (Speed) Uo =0Km/hr na baada ya sekunde 6 ukapima final velociy Uv, utagundua kuwa ile gari ya Petrol ina uwezo mkubwa wa kuunguza mafuta na kubadili nishati ya mafuta kuwa nishati ya mwendo kuliko nishati a Diesel. Mafuta ya Diesel hayaungui haraka kama Petrol na ndio maana gari nyingi za Diesel zinafungwa kifaa kinachoitwa Turbo. Kifaa hichi husaidia kujaza hewa kwenye injini ili kuchochea combustion (moto) katika engine.
Moja ya kitu kinachosababisha diesel iwe na uwezo mkubwa ni kwa vile Diesel inaungua taratibu na inaungua katika joto kali zaidi kuliko Petrol. Kwa hiyo compresiion ratio ya hewa kwenye cylinder ya engine ya Diesel inaweza kuwa 1:10 wakati ile ya Petrol inaweza kuwa 1:7... Yani hii inamaanisha japo diesel inaungua taratibu, ule mgandamizo wa hewa unaweza kuwa mara kumi zaidi ukilinganishwa na hewa iliyoingia kwenye cylinder wakati ile ya Petrol inaweza kuwa na mgandamizo mara saba zaidi... Mngandamizo unapokuwa mkubwa ina maana kuwa lile pigo la cylinder kuizungusha cranck shafti linakuwa ni la nguvu zaidi.
Hapa ni kama vile katoto kadogo kaje kwa nguvu kakuzabe kofi moja alafu Mike Tyson akupige 'kikofi cha mahaba'. Kofi la nguvu la kale katoto kadogo linaweza likakuacha unatabasamu na wakati kofi moja dogo la Tyson linaweza kukufanya upelekwe hosiptali.
Kwa hiyo pigo moja la engine ya petrol ni sawa nakofi la katoto... Kana nguvu nyingi na kanaweza kakakimbia haraka kuja kukuzaba kofi lakini kofi lake halina nguvu sana. Diesel ni kama Tyson, ana nguvu kidogo ya kukimbia kuja kukuzaba kofi lakini akikupiga kofi lake dogo lina kuwa na nguvu nyingi sana.
Hivyo basi utaona mafuta ya Petrol yakitumika kwenye magari madogo na wakati mafuta ya Diesel yakitumiwa kwenye magari makubwa ambayo yanabeba mizigo mizito hata ya tani thelasini, kwenye engine za meli na hata treni...
Wamarekani kutokana na utajiri wao wanapenda wapate vyote.. Horse power na Torque.. Ndio masna utakuta magari ya Mmarekani yanatumia injini za Petrol na yana injini kubwa kama gari za Diesel.. Gari ya Petrol ya Mjapani yenye cc 2000 (rav 4) mmarekani ametengeneza gari kama hiyo na kuiwekea injini ya Petrol ya cc 4,000 (Jeep Cherokee)!
yaaani kwa maelezo ya huyu mtu kamaliza maswali yote, big up kwa ushirikiano.Tofauti ya gari moja na nyingine haiko kwenye speed kama ambavyo unaiona kwenye dash board, bali iko kwenye vitu hivi vikubwa viwili:

Namaanisha mmoja kumpita mwingine! Mwenye speed 100kph atakuwa mbele ya mwenye 90kph! Lkn kwa mfano gari inaposlip c itasoma speed kubwa lkn iko palepale? Kwa hiyo bc pikpik ni nyepesi inapokinzana na upepo kuna nguvu inapotea kwa kutokukanyaga ardhi kwa %100 kutokana na wepesi wake! Lkn gari kutokana na ukubwa wake itakuwa nguvu inayopotea ni kidogo kulinganisha na pikpik! Pia tunaongelea wakati wa mwendo na c kwa uwezo wa speed ya gari kwani gari inaweza kuwa na uwezo wa 220kph lkn dreva wakati huo akaenda mwendo wa 80kph!Unapotosha maana halisi ya mada, 100kph na 90 kph logical n practically mwenye 100kph atakuwa speed zaid