Ni nini tofauti ya Mwanausalama na Askari wa Upelelezi?

Kulingana na uelewa wangu mdogo, afisa usalama kama vile wa mossad aitwaye Fareed Al mansoor mwenye asili ya Lebanon anaweza kujipenyeza ama kupenyezwa (infiltration) na kufanya kazi kwenye kampuni kubwa sana ya usambazaji wa vifaa vya ujenzi iliyopo Iran, lengo likiwa si kuipeleleza ile kampuni bali lengo ni kuwa karibu na mwana dada mrembo Husna Bin Kareem, binti wa mwisho wa kanali Mansoor na mtunza boharia kuu la silaha katika jeshi la Iraq (saddam hussein's Iraq), anayefanya kazi kama secretary na msaidizi wa karibu wa boss. hapa unakuta mossad wanataka Fareed amtongoze na amuoe huyu dada Husna, ili kuanzisha undugu wa kifamilia na hatimaye Fareed aweze kuwa karibu na baba mkwe wake Kanali Mansoor mtunza ghala ya silaha la jeshi la Iraq na mambo mengine yaendelee.

Hivyo mkuu, agent huendelea kufanya kazi kama undercover katika taasisi fulani mpaka lile lengo (mission) iliyompeleka pale ikamilike ndio atakapoomba ku-resign kazi ama atafanya kosa makusudi ili afukuzwe, ila kwenye issue ya mishahara hiyo siifahamu kabisa inakuwa vipi kama atapokea kutoka mossad tu ama pamoja na kampuni anayofanyia kazi. but common sense demands huyu jamaa agent alambe mishahara kutoka pande zote mbili.!!!!!!

NB: ninapenda sana kuwatumia mossad kama mfano hai, as operations zao nyingi sana zipo google na mtu yeyote anaweza kuzisoma kwa uhuru!!!!!!
Mundo huo wa ujasusi huitwa Honey Traps
 
Mkuu unafurahi kuwafanya watu fulanifulani wakilala bila kusinzia leo? haya bana.Ila hapa tunaelimishana tu.Ila ikae ukijua story za mambo ya Usalama zinavuta sana hisia za watu,na zinanoga kweli,Movie na novel za ujasusi zinauza sana kamanda wangu.
Leo nipo shambani asubuhi hii mtandao unagomagoma nimeamua kuja shamba baada ya jirani yangu kuvamiwa na nguruwe. Sasa leo wote hakuna kucheza bao wala key board jengeni Taifa it is furahi day tudei
 
Hivi watu so interested kweli kulima kando kando ya bahari.wakati kuna mito ina maji baridi mazuri hata ngo'mbe wanaweza kunywa.Fungeni hiyo discussion tuende gezaulole
 
Mundo huo wa ujasusi huitwa Honey Traps
mkuu Yericko Nyerere tunaomba msaada wako wa ushauri kwa hapa:

Hivi tunavyojadili haya mambo ya kiusalama hata kwa huu uelewa wetu mdogo na wa kitoto sana sio tunatenda kosa kwa mujibu wa sheria kaka???!!!!!! maana yake, vidole vyetu visije vikatuponza tukajikuta tunaangukia kwenye mikono ya vyombo vya sheria/usalama???

Kuna jamaa humu ndani anatutisha kwa mikwara mizito sana anajiita Sulphur Hexafluoride!!!
 
Ninataka kuwaswalika swali mara moja mko tayari wakuu wangu humu ndani au bado AC zipo ON pamoja na baridi yote hii Hivi Zile nchi zilinazo ishia na stan, Pakistan, tajistan,Kazastan, uberzerbanstan, sijui,Afghanstan na nyingine ......stan,....stan hivi zile stan zina maana gani? au nn chimbuko
 
Ninataka kuwaswalika swali mara moja mko tayari wakuu wangu humu ndani au bado AC zipo ON pamoja na baridi yote hii Hivi Zile nchi zilinazo ishia na stan, Pakistan, tajistan,Kazastan, uberzerbanstan, sijui,Afghanstan na nyingine ......stan,....stan hivi zile stan zina maana gani? au nn chimbuko
Maana yake ni "nchi" au "eneo". kama ilivyo kwenye afya -therapy. physiotherapy, psychotherapy etc Hindustan!
 
Maana yake ni "nchi" au "eneo". kama ilivyo kwenye afya -therapy. physiotherapy, psychotherapy etc Hindustan!
mkuu, are you supposed to mean tanganyikistan, kenyistan, ungandistan, rwandistan, burundistan, and the like????!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom