Ni nini kinaendelea hapa Ubungo Plaza?

deadteja

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
379
84
Kuna dada fulani jana alinipigia simu na 'kuniomba' nifike hapa UP, saa 7 mchana. Nimefika na kukuta watu kama 1000. Tupo hapa ukumbi wa Blue Pearl na kila ninayemuuliza hafahamu kitakachojiri. Is there anybody out there who could give the hint of what is going to happen here before they've brain-washed me completely to be a Freemason?
 
Du! inabidi utu-update kinachoendelea make we ndo uko kwenye tukio sie tuko out of site.
 
Kama sijakosea watakuwa Forever Living ama kinachofanana na hicho.

Nimewahi kupigiwa simu pia na mtu akishauri niende pale kama nina haja ya kuongeza kipato cha ziada
 
...Bongo bwana, dah! yaani upo sehemu hujui umefuata nini? Ok, aliyeitisha hiyo kitu anakuja na grenades, subiri kidogo.
 
Haaa Forever living wanauzi sana hao watu,wabongo wanashawishiwa eti kisa kuna kijana wa UDSM anaitwa E.S amepata kama 180mil sasa kila mtu anataka kwenda,sijawahi shawishika na upu.pu wao huo.
 
ohooo, ohooo, ohooo hapo kuna bokoharam wanasubili mue wengi wawaonyeshe cha mtema kuni! Timueni mbio za kufa mtuu..........
 
Kuna dada fulani jana alinipigia simu na 'kuniomba' nifike hapa UP, saa 7 mchana. Nimefika na kukuta watu kama 1000. Tupo hapa ukumbi wa Blue Pearl na kila ninayemuuliza hafahamu kitakachojiri. Is there anybody out there who could give the hint of what is going to happen here before they've brain-washed me completely to be a Freemason?

mi ndo nilimpa namba yako akutafute na natumaini umepata somo uliloitiwa
 
Eti huyu naye ni great thinker, lol !!! We unawezaje kwenda mahali bila kujua hata unachoitiwa. Kweli waswahili hawakukose waliposema wajinga ndio waliwao.
 
niliwahi kupigiwa kutoka blue rock arusha nilipofika nikakuta wanatangaza bidhaa za aloe vera nikawapuuza nikachapa yebo,hawa watu wanaudhi kweli sijui namba za watu wanazipata wapi?
 
acha njaa ww utaendaje sehem withougt knowing the specific agenda for ur call
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom