RayB
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 2,751
- 196
Bange bangeeeee ukizidisha inakuwa kerooo
Kazi kweli kweli.Hii kweli ni Bangi flava si ndiyo. Na kwa rasta hiyo ndiyo chakula. Je unakumbuka wimbo maarufu sana wa Bob Marley Legalize marijuana???????
Bob Marley hana wimbo kama huo.
Usimfananishe Bob na MacnToshi
Watoto wa David Camerun wakimwona sijui kama atapona!Bange bangeeeee ukizidisha inakuwa kerooo
Huyu Haina shida, Angevua CHID BENZ alivyo na WOWOWO! ingeleta burudani sana!
hii sio Bangi bangi hii ni bangili bangili ikizidi unakuwa kam kichaa fulani ehhh ndio bongo ya kisuku hizi hiyo????????????????????????????Bange bangeeeee ukizidisha inakuwa kerooo
David Cameroon ndiyo anavyotaka watu wawe kama huyu Msela chiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiihahaha hahaahahahh!!!!!!!!!!!
David Cameroon analijua hilo?
David Cameroon ndiyo anavyotaka watu wawe kama huyu Msela chiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
hapana mkuu hiyo ndo bange
:tongue::lol::tongue::lol::tongue::lol::tongue::lol::tongue::lol::tongue::lol::tongue::lol:Watoto wa David Camerun wakimwona sijui kama atapona!