Ni nini hatma ya ccm?

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Wana jf;ni nini itakuwa hatma ya ccm endapo Lowasa,chenge,sitta wataondolewa chamani?je kitapata mvuto kwa watz?kuchukua hatua hizo ni sahihi?
 
Hatma ya CCM hata Shetani haijui na anawashangaa CCM maana wanavyotafutana hata shetani hua hafanyi hivyo kwa binadamu! Malaika hawaitaki CCM na Shetani na Majini wameichoka CCM, Mbingu haiwafai na wala Jehanam haiwatoshi, Dunia haiwataki....maskini weeweeee
 
Wana jf;ni nini itakuwa hatma ya ccm endapo Lowasa,chenge,sitta wataondolewa chamani?je kitapata mvuto kwa watz?kuchukua hatua hizo ni sahihi?

Wamekutuma uje uwafanyie research au? Haya kawaambie Kifo chao kipo pale pale 2015!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom