CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,863
- 686
Tupe unachofahamu.
Mkuu
Mi naona hili suala ni la kisaikolojia zaidi kuweza kutambua kwanini binadamu haridhiki.
Lakin tukija kuangalia namna ya kumdhibiti huyu mwanadamu na tamaa zake basi ndipo inapokuja inclusion ya imani. kwa maana ya dini.
So dini itamfundisha binadamu aache tamaa kwa kuwa Mungu hapendi
Kwa sababu binadamu ni mali ya Mungu, basi lazima ataogopa sana kumchukiza Mwenyezi Mungu na hivyo atatulia