Ndivyo Ilivyo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 243
- 4
Bw. Mwiba hebu tueleze kidogo kwani wewe vipi. Jee? ni Mzaramo, Mndengereko, Mmatumbi,Mpemba, Mshirazi,Mzanzibara, au M-zanzibari? Kumradh kama itakuwa nime-kuzonga.Ni nini faida ya kupiga chabo ? Kusingekuwepo na watu wanaopiga chabo kama kusingekuwa na faida ,lazima kutakuwa na faida ,jamani msiwe wachoyo hebu tuelezeeni ,inasemwa kuwa wazaramo na wandengereko ni nambari one kwa chabo !