Ni nini chaweza kuwa tatizo?? napenda Senior Ladies only!! Ni shida .

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
1,662
Inafika wakati mtu unajifanyia evaluation..nimegundua nina Tatizo. Napenda wanawake ambao nimelingana nao Umri, au walionizidi..nimewahi kuwa na binti nliemzidi age, and the relation didn't work out kabisa.

Nimekuwa katika trend ya kudate wanawake ambao sio wamenizidi that much but unakuta 2 years, one year na kwa sasa nlie nae kanizidi one year na ndio nataka nimweke ndani, raia wananing'ong'a.

Nieleweke, sijawahi kuwa nao kwa sababu wana hela, nashukuru hakuna hata mmoja anaeniweka mjini.

Mnahisi tatizo linaweza kuwa nin? Raia wananiambia ni vizuri nioe mwanamke nliemzidi..kitu kinachoharibu kabisa ni pia kwa muonekano mimi kidogo nina afya chafu hivi kidogo ningekuwa na body ningeweza kufuta hiyo dhana. Nifanyeje wanangu.
 
hakuna tatizo mimi wifi yako kanizidi miaka 10....sina shaka nae na sasa tuna watoto 5....
 
Brother Ukitaka kuwa na ndoa tulivu hapo ndio umefika,utalelewa vyema.
 
Inafika wakati mtu unajifanyia evaluation..nimegundua nina Tatizo. Napenda wanawake ambao nimelingana nao Umri, au walionizidi..nimewahi kuwa na binti nliemzidi age, and the relation didn't work out kabisa.

Nimekuwa katika trend ya kudate wanawake ambao sio wamenizidi that much but unakuta 2 years, one year na kwa sasa nlie nae kanizidi one year na ndio nataka nimweke ndani, raia wananing'ong'a.

Nieleweke, sijawahi kuwa nao kwa sababu wana hela, nashukuru hakuna hata mmoja anaeniweka mjini.

Mnahisi tatizo linaweza kuwa nin? Raia wananiambia ni vizuri nioe mwanamke nliemzidi..kitu kinachoharibu kabisa ni pia kwa muonekano mimi kidogo nina afya chafu hivi kidogo ningekuwa na body ningeweza kufuta hiyo dhana. Nifanyeje wanangu.

Huna sera wewe!!!
 
Yeye ameshachagua mwelekeo wake halafu anataka ashauriwe kweli unaweza kushauri moyo wake ugeuke isitoahe ashasema ana mtu aged anataka kuweka ndani wht can say hpo?

Mkuu all relationships b4 mariage ar perfect coz unaweza kuivunja ila ukishaoa inabidi iwe for good and for worse.

Nakataa kwa nguvu zote kuwa tayari nimechagua mwelekeo wa maisha while it obvious safari moja huanzisha nyingine..kuwa na mpenzi kuna a very thin line na kuwa na mwenza wa maisha. I stand to corrected
 
Mkuu all relationships b4 mariage ar perfect coz unaweza kuivunja ila ukishaoa inabidi iwe for good and for worth.

Nakataa kwa nguvu zote kuwa tayari nimechagua mwelekeo wa maisha while it obvious safari moja huanzisha nyingine..kuwa na mpenzi kuna a very thin line na kuwa na mwenza wa maisha. I stand to corrected

Kweli unachosema lakini amini usiamini best thng to do ni kuzikiliza moyo wako mahusiano hayana formula wht hpn to you cnt hpn to someone else mahusiano is smthn serious n not for testing assume ungekua ww mtu amekuengage mahusioano thn akuache kwl utafurahi
 
Huwezi kufurahi, na wewe ukiona were yo are heading is a north west sixth gate to hell, huwezi badili mwelekeo?
 
Ikifika hivyo maanayake tayari ulishaona mwenyewe hayo hayakufai thn u dnt need to ask for ushauri because jibu unalo bt mtoa mada anataka ashauriwe aendelee na mahusiano au la jst because wamekutana bar hii ni point ya kutosheleza kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom