Ni neno gani unakumbuka siku flani ukitongoza/ukitongozwa unacheka hadi leo ??

Texas Tom.

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
510
273
Hakuna fundi/kipaji/taaluma/chuo cha kutongoza kwa mwanaume, hakuna kujiandaa/kujipanga kwenda kutongoza! kuna blogs nyingi zinafundisha watu maneno ya kwenda kumwambia msichana ili umpate...NI UONGO! labda mtu akuambie maneno ya kuepuka kumwambia msichana. Usione kidume kimesimama muda mrefu na mdada ukafikiri kuna la maana anachosema, mengine ni ujinga tuu!!! utasikia ''NATAKA KUNUNUA GX 100" "NATAKA KUHAMIA KWENYE NYUMBA YANGU" ni kujipamba kiujinga utakuta hata kumi huna. Halafu hakuna mwanaume anaeweza kukuambia ni maneno gani alimwambia binti yule hadi akakubali sana sana atakuambia tu nilipiga saundi nikapiga saundi hadi akaingia line...muulize hiyo saundi ni ipi??? Angalia hata zile bongo muvi ikifika wakati wa kumtokea binti wanashindwa kuongea....ila wakina dada huwa wanatuenjoy wakati tunawatoke!! sasa umkute anaepiga maswali ya papo kwa hapo utakimbia.. mi lishawahi kutema cheche kwa dada mmoja akawa anacheka hana mbavu, nilimwambia (nakusimulia kwasababu hunijui) ''kwenye majani mabichi wanakuja wanyama mbalimbali sasa mi nakuja kama kondoo..." kabla hata sijamaliza akawa hana mbavu.. nikakimbia akawa ananiita ndo nikatokomea kabisa. nilikua form 1 hadi leo ananiita MZEE WA MAJANI MABICHI (kweli nilikua ---- ee)... hebu jiulize na wewe ni maneno gani ulisema ukikumbuka unacheka...au dada ulowahi kuambiwa nawe ukikumbuka unacheka..
 
hahaaa mi hua nacheka kijana anatokea kwa gia ya kuoa....eti "mtoto mzuri mwenye adabu km ww nataka nikuoe, embu jiulize huyo uliye nae kwa nini hajakuoa mpaka sasa?" hapo ni kama demu amekuambia ana jamaa yake. sijui vijana hua hatujiulizi " kama sisi ni wema na tuna adabu mbona hatujaoa na miaka yetu karibu 40?
 
Mi baada ya salamu nilichomoa wallet mfukoni nikahesabu misimbazi nilipofika wa 16 nikiwa naendelea kuhesabu akanisogelea nikamshika mkono akanifuata hadi ndani!
Tulishtuka saa 3 usiku!

Uwongo wote wa nini wakati umebeba wallet?

Hivi unategemea utamdanganya lara 1?
 
Last edited by a moderator:
Mi baada ya salamu nilichomoa wallet mfukoni nikahesabu misimbazi nilipofika wa 16 nikiwa naendelea kuhesabu akanisogelea nikamshika mkono akanifuata hadi ndani!
Tulishtuka saa 3 usiku!

Uwongo wote wa nini wakati umebeba wallet?

Hivi unategemea utamdanganya lara 1?

Kila m2 anamjanja wake imagin simba alivyo mkali nungunungu na miba yake lakin anatoa utamu na raia wanana kong'ota vizuri tu.. Alafu ndege mjanja bwana wee.. Unaweza ukampa mtu vyeo kumbe anamvulia chupi mzembe fulani uckute hata uyo lara 1 naye ypo humo?
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa form 2 nikampenda mtoto wa chuo mwaka wa 1 ametoke mkoa anashangaa shangaa jiji! nilichofanya nilimtafuta jamaa akajirecord kwenye simu yangu akitamka maneno haya " bosi hakuna ndege ya south Afrika kesho labda kwesho kutwa vipi nikuchukulie ya kesho kutwa ................ na maneno mengi ya kunipambia wallet yangu" wakati namsimamisha nikamsalimia na kumuuliza angependa nimpe zawadi gani nikitoka kwa Madiba wakati anajikanyaga kanyaga kama haniamini vile mzee nikabinya button ya wimbo maza nikajidai napigiwa kama napokea vile nikabonyeza next kijana ananyenye kea kwa maneno ya kunipandisha haadhi mbele ya mrembo asiyekuwa size yangu huku laud speaker ikitawala ilipoisha nikaanza kuonge na hewa natoa masikitiko na kumorder achukue hiyo ya kesho kutwa nilichukua mtoto bila kutongoza ikabaki mimi na south yeye na zawadi! nikawaacha kaka zangu midomo wazi wakiniaminia kwa verse kumbe technique! ahaa ahaa aha aaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
 
Nimekumbuka kitambo nilienda kijijini kumsalimia bibi handsome wa kijiji akanitokea na sound zake za kunipeleka dar nilicheka sana
 
Me nacheka tu nikikumbuka nilimwambia mdada mmoja kwamba 'ushawahi kupanda ndege? Akasema hapana! Basi nikamwambia nitakununulia ndege ukinikubalia mara akanirukia na kunikumbatia, waschana bwana! Wakati hata kijijin kwetu penyewe uwanja wa ndege ni ndoto kuupata. Teh.
 
Mimi nilikuwa namtokea na magari ya shirika la umma SU..... na kudai ni yangu,mwisho wa siku wenzie wakamwambia mimi sina lolote hayo ni magari ya umma nikamwambia waongo hii gari nimenunua Sudan niko ktk mkakati wa kubadili namba na yeye akaamini akawa amenikubali.
 
ah ah! hua napenda mabinti wasomi sana, so hawa nilikua nawapata kwa msuli na kuwaonga utilio, nakuwashauri mambo ya kielimu na jinsi ya kufaulu mitihani na kuwafundisha.. mwisho wa siku kiulaini unachukua mtoto bila sound wa vocal, but ni njia ndefu hii
 
mi jamaa m1 alikua anapiga sound kuona anakataliwa kajifaya kukosea meseji eti kaka zile laptop zangu za biashara naomba unipitishie hom nizicheki kwanza nilicheka sana enzi izo niko form 6
 
Back
Top Bottom