Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Sitasahau alikuwa ni X wangu lakini aliugua akanipigia simu halafu akaniambia " mimi ntakufa lakini tambua NAKUPENDA SANA" dah huwa nikikumbuka hadi chozi linasogea kwenye macho maana siku tatu baada ya kuongea nae alifariki kweli.

Jamani this is too emotional

pole sana hakika ni vigumu kuyasahau hayo maneno
 
She told me this" if i have to choose between breathing and loving you,i would use my last breath to tell you i love you", it was poetic but it truly came from her heart, i still remember her,may her soul rest in peace.

pole sana
 
1.Sitakuacha love,labda uniache wewe (nikimkumbuka hadi chozi linanshuka)
2.I love looking at u all the time,i have finally met my baby's mama'...(biggest liar of all times)

badiebey umenichekesha sana, nikisomaga comments zako mimi hoi, let me be your friend kwakweli, una vitukoo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sitasahau pale nilipoambiwa... 'kuanzia leo iwe mwisho wako wa kunipa pesa, sitaki pesa zako' 'but i love you soo much mpaka joto liishe dar es salaam!

Halafu akaongezea... ' you are more than oxygen to me'!... Eenh!

Sasa maneno kama haya niyasahau ili iweje!

ahahahaaa nimechekaje ebana hapo huwez kusahau hata mimi naona
 
"Ukiniiacha nakuua" Cha ajabu mie ndio nilianza kumuacha na hakuniua mpaka leo naishi!!!!! "I will never leave you no matter what" SIku niliyoachwa haya maneno yalijirudia mara mia tisa kasoro saba..... Dah mapenzi bana, unaweza kutamka chochote ila usimaanishe!!!!!!!!
mahusiano yakiwa yanaanza wapenzi hupeana promise nzurinzuri ambazo huwa hawamaanishi hata kidogo
 
Sitasahau siku aliponipa dedication ya wimbo wa end of the road and by that time siku ufahamu huo wimbo wala maana yake but nilifwatilia nikaujua ukwel,

Real wanawake sisi ni wabaya sana but always men are behind al the things.
 
She told me this" if i have to choose between breathing and loving you,i would use my last breath to tell you i love you", it was poetic but it truly came from her heart, i still remember her,may her soul rest in peace.
inasikitisha pole sana
 
Back
Top Bottom