attachment.php
 
Attachments

  • kim-kardashian-sarah-baartman1-e1416233149587.jpg
    kim-kardashian-sarah-baartman1-e1416233149587.jpg
    21.2 KB · Views: 4,286
Sabakheri wadau:

Leo ningependa tujikumbushe kwa ufupi kuhusu huyu bi mdada! Aliyezaliwa 1789 huko south africa na kufa 29 dec 1815 huko paris france kama mtumwa

Nini kilimtokea;

Saartjie anasadikika kuwa ndiye mwanamke mwenye tako kubwa haijawah kutokea katika historia!wowowo lake hilo liliwafanya wakoloni kumchukia na kumfanya kama maonyesho katika maeneo mbali mbal huko ulaya! Hakufaidika na chochote na maisha yake yalikuwa duni kuliko kawaida! Na hata baada ya kufa wakoloni hawakuridhika walimnyofoa genitalia parts na kuziweka museum kama maonyesho na kupiga pesa.
 
ImageUploadedByJamiiForums1458539560.894382.jpg

Kwa kuongezea tu ni kwamba wakoloni walimfanyia Kama udharirishaji tu Kwa sababu ilikuwa ukitaka kushika tako lake unalipa au kupigana nae picha hata ukitaka kufanya nae mapenzi.ila alikuja kufa akiwa Na miaka 26 tu Kwa magonjwa ya zinaa.
 
Halafu mgongo ulikuwa O.G kabisa no fekero back then...Ila wazungu walimfanyia vitu vibaya sana ndiyo maana mpaka leo sijarudisha roho kwa wazungu ni ile hakuna namna kupitia wao natengeneza mpunga inabidi nijifanye mjinga tu..Yaani walikuwa wanampeleka kwenye maonyesha akiwa kwenye Cage kama simba then watazamaji wanalipa pesa fulani kushikashika wowowo lake huku yeye kafungwa minyororo kila mahali...
 
Duh Aise!
 
Back
Top Bottom