Ni nani mmiliki wa Clouds Fm Radio na Clouds Tv?

hakuna mmiliki pale, ile kampuni inaendeshwa na vijana wanaojihisi wao ni wamarekani si watanzania as wanabeza sana vitu vya majuu kuliko vya bongo. Kiswahili ndo lugha yao ila wanajifanya hawajui na english hawajui ila wanajifanya wamarekani wa kibongo, kuna kazi hapo.
 
talk that talk...
 
Back
Top Bottom