Ni nani mmiliki wa Channel Ten na Magic FM?

Msaada kwa anayejua mmiliki wa Chanel ten

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Msaada kwa anayejua mmiliki wa Chanel ten

Post sent using JamiiForums mobile app

Wahindi fulani wenye jina la ' Ukoo ' la aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Klabu ya Simba SC na ' Tajiri ' mmoja ambaye ni leo tu ameipandisha Simba SC ' Ndege / Mbung'o ' kwenda ' South ' kwa Madiba na ambaye anaitaka mno Klabu. Ila Bosi wao Mkuu hapo ni Madam Dina Chahali akisaidiwa na akina Dativas Mango na ' Brazameni ' mmoja hivi ' Mngoni ' wa Kwanza kuwahi kuishi Oysterbay Nicky Ngonyani.
 
Katangazo Kako ka nusu Dakika kanahusiana nini na Mmiliki wa Kituo?
Huna lolote mfukunyuku wa mambo ya watu wewe.
 
Nilikuwa sifahamu mmiliki wa channel 10 nilikuwa nasikiliza tu Magic FM na Channel 10, safi sana buana.

Je, wewe ulikuwa unalifahamu hili? Nilikuwa nadhani ni mali ya Rostam na wengine kumbe looh
 
Back
Top Bottom