Ni nani mmiliki wa Channel Ten na Magic FM?

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
211
Wadau nina matangazo yangu ya kikampuni changu, na nilikuwa napanga kupeleka pale channel Ten, sasa nikampigia simu rafiki yangu anisindikize ndipo akaniuliza kwani na wewe ni fisadi? nikamwambia sijakuelewa ndipo akaniambia kuna kituo hicho kimenunuliwa na mafisadi yule Mwitaliano hayupo.

Akasema kinamilikiwa na Rostam Aziz pamoja na Edward Lowassa nikabaki mdomo wazi. Ila naye hana uhakika. Mwenye kuujua ukweli huu atujulishe ili tusiendelee kuwaunga mkono mafisadi.



 
Duh hii kali ,nafikiri kuna mpango kabambe wa kuhakikisha vyombo vyote vya habari vinakuwa chini ya mafisadi ifikapo mwaka 2015!!!
 
wadau napenda kujua kituo hiki cha television nani anakimiliki? Siku za nyuma kama sikosei mmiliki alikuwa ni franko tramontano lakini nadhani alishaondoka nchini.
 
Mzee mmoja hivi anaitwa King Majuto kama mfuatiliaji wa vichekesho utakuwa unamfuhamu.
 
Tv za Kenya haziwezi kutowa coverage ya mazishi ya Kanumba, kuna vitu vingi vya msingi vya kuripoti.
 
Nini TV za Kenya hata CNN, Sky News, BBC, na nyinginezo huwa zinatoa coverage ya mazishi ya celebrities! Hivi Kazi ya TV nini, na nini maana ya news?

CNN, Sky News, BBC, walionesha mazishi ya Kanumba!!.....inaonekana wewe ni miongoni mwa wale msiokuwa na shughuli za kufanya mliojazana pale Leaders club kisa eti kumuaga Kanumba in working days!!
 
Back
Top Bottom