Nimekuwa nikifatilia kwa karibu sana matukio mbalimbali yanayoendelea kutokea hapa nchi nikijiuliza hasa chanzo cha hii migogoro ni nini, lakini nashtushwa na jamabo moja kuwa, hisia tulizonazo sisi waisilamu ni juu ya wakristo kuonekana wameshamiri sana kwenye elimu dunia, sisi tumekuwa na hofu sana isiyo na maana, mimi nadiriki kusema haya kwa sababu wakristo ni watu wastarabu sana kwa sababu ya elimu zao, sisi kazi yetu ni miadhara na madrassa ambavyo vinaonekana kuwa kaa la moto, alafu raisi anakosea sana kwani ameonekana wazi kutupendelea katika nyadhifa nyeti ndani ya serikali mfano
1.mkuu wa polisi saidi mwema muislam
2.jaji mkuu othman chande muislamu
3. mkuu wa usalama wa taifa muislamu
4.rais mwenyewe mkuu wa nchi muislam
5.mkuu wa kanda maalum dar es salaam muislam-kova
6.makamu wa rais muislam-bilal
7.rais wa zanzibar muislam-shein
8.waziri wa elimu-kawambwa
9.waziri wa viwanda-kigoda
10.waziri wa afya-mwinyi
11.waziri wa mawasiliano na naibu wake-mbawala na makamba
12.waziri wa maji na umwagiliaji-maghembe
13.waziri wa mambo ya ndani-naodha
14.WAZIRI MALIASILI-KAGASHEKI
15.waziri ofisi ya raisi -hawa ghasia
16.jinsia na watoto-sofia simba
17.mkuu wa mkoa wa dar es salaam muislam
ukija kwa wakuu wa mikoa, wakurugenzi, wakuu wa wilaya story ni hiyo hiyo.
kweli rais wetu amekuwa mdini sana, afu tujiulize, ingekuwa wakristo ndo wamechoma msikiti hali ingekuwaje?
lazima tukae chini tujiulze, tumekosea wapi na sikuwa na miadhara isiyokuwa na maana kumjadili yesu na kupinga sio mungu haitusaidii, inabidi tukazanie elimu na tujifunze dini yetu.