mujusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 237
- 58
Sakata la Muro huwezi kulitenganisha na siasa kwa sababu yule anayemtuhumu kudai hongo analindwa na wanasiasa fulani ndio maana kafanikisha kujilimbukizia mali nyingi na kupewa nafasi nyingi za uhamisho na kupewa nafasi ya kulichukua jengo la CCM morogoro Mjini nakulifanya moja ya mahoteli yake.